Msimamo Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika 2024/2025
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA TELEGRAM CHANNEL YETU
Msimamo Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika 2024/2025, Habari mwanaspoti wa Habarika24, karibu tena katika makala hii fupi ya michezo ambayo moja kwa moja itaenda kuangazia msimamo wa kundi B kwenye michuano ya Klabu bingwa Afrika msimu huu wa 2024/2025.
Kama wewe ni mfuatiliaji wa michuano ya CAF Champions League basi uko kwenye ukrasa sahihi kwani hapa utaona mwenendo wa msimamo wa kundi B katika hatua ya makundi kwenye ligi ya mabingwa barani Afrika
Msimamo Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika 2024/2025
Timu Zinazounda Kundi B
Kunajumla ya timu 16 amabazo zinaunda kundi la B timu ambazo zitaenda kucheza takribani mechi/michezo 6 kwa kila timu huku michezo mitatu ikwa ya ugenini na michezo 3 mingine ya nyumbani. Hapa chini ndio timu zinazounda kundi B.
- Mamelodi Sundowns (South Africa)
- Raja Club Athletic (Morocco)
- AS FAR (Morocco)
- AS Maniema Union (DR Congo)

Msimamo Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika 2024/2025
Hapa chini ndio msimamo harisi wa kundi B;
Hitimisho
Je kwa mtazamo wako kulingana na ubora wa timu moja moja kwenye kundi hili unadhani ni klabu gani itaibuka kidedea kwenye msimamo wa kundi hili B kwenye mashindano haya ya klabu bingwa barani Afrika kwa msimu huu wa 2024/2025.
Embu weka maoni yako hapo chini kupitia uwanja wa komenti ili tuone mtazamo wako.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Ratiba ya Mechi za Yanga Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
2. Ratiba ya Michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
3. Kundi la Yanga SC Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
4. Makundi ya Klabu Bingwa Africa Msimu wa 2024/2025
5. Jinsi ya Kununua Tiketi za Mpira kupitia N Card
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku