Msimamo wa Kundi la Yanga Club Bingwa Afrika 2024/2025, Msimamo wa Kundi A Klabu Bingwa Afrika , Hapa tutaenda kutazama msimamo wa kundi A katika michuanao ya klabu bingwa Afrika (CAF Champions League)
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Kama wewe ni shabiki wa timu yoyote ile iliyoko kwenye kundi A katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika msimu wa 2024/2025, basi ni muhimu kutazama msimamo wa kuni hili ili kufahamu nafasi ya timu yako katika kufuzu hatua hii ya makundi
Msimamo wa Kundi la Yanga Club Bingwa Afrika 2024/2025
Timu Zinazpunda Kundi A
Katika kundi A kunajumla ya timu 4 ambazo zitacheza michezo isyopungua 6 huku michezo 3 ikichezwa ugenini kwa kila timu na michezo mingine 3 ikichezwa nyumbani kwa kila timu, Hapa chini ndio timu zinazounda kundi A.
- TP Mazembe (DR Congo)
- Yanga (Tanzania)
- Al Hilal SC (Sudan)
- MC Alger (Algeria)
)
Msimamo wa Kundi la Yanga Club Bingwa Afrika 2024/2025
Hapa chini ni msimamo wa kundi A kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika kwa mwaka 2024/2025
1. Al Hill – ponti 9
2. MC Alger – ponti 4
3. Yanga SC – pointi 4
4. TP Mazembe – pointi 2
Nafasi ya Yanga kwenye Msimamo wa Kundi A Klabu Bingwa Afrika
Hadi sasa klabu ya Yanga ya Tanzania imesha cheza michezo 4,imeshinda mchezo 1, imedroo mchezo 1, na kupoteza michezo 2
- Yanga vs Al Hilal Sudani Matokeo ( 0 -1)
- MC Alger Vs Yanga, Matokeo (2 -0)
- TP Mazembe vs Yanga, Matokeo (1-1)
- Yanga vs TP Mazembe Matokeo (3-1
Kwenye msimamo wa kundi A hadi sasa klabu ya Yanga inajumla ya pointi 0 ikiwa katika nafasi ya 4. Yanga imebakiwa na michezo 4, huku michezo 2 ikiwa ni ya ugenini na michezo 2 ya nyumbani.
Hitimisho
Timu zote hapo juu ni bora katika nyanja tofauti tofauti sasa upi mtaamo wako juu ya msimamo wa kundi hili na unadhani ni timu gani itakayoshika nafasi ya kwanza na kufuvu kwenye hatua inayofuata?
Embu tuandikie maoni yako kwenye uwanja wa komenti hapo chini
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Ratiba ya Mechi za Yanga Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
2. Ratiba ya Michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
3. Kundi la Yanga SC Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
4. Makundi ya Klabu Bingwa Africa Msimu wa 2024/2025
5. Jinsi ya Kununua Tiketi za Mpira kupitia N Card
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku