Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Ratiba Ya Mechi Za Simba SC Ligi Kuu Ya NBC Premier 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali

    March 8, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Ajira»MAJINA ya Walioitwa Kazini Bunge la Tanzania
    Ajira

    MAJINA ya Walioitwa Kazini Bunge la Tanzania

    Kisiwa24blogBy Kisiwa24blogDecember 30, 2025No Comments1 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Katibu wa Bunge anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali katika Utumishi wa Bunge waliotajwa katika Tangazo hili kwamba, walifaulu kushinda waombaji kazi wenzao kwenye usaili uliofanyika tarehe 20 – 23 Disemba, 2025 katika Ofisi za Bunge Dodoma. Hivyo, wahusika wanaarifiwa kwamba wanatakiwa kuripoti kazini Ofisi ya Bunge Dodoma ifikapo tarehe 05 Januari, 2026 kwa ajili ya kukamilisha taratibu za ajira zao na kupangiwa kazi.
    Waombaji kazi wanaoitwa kuripoti kazini wanatakiwa kufika wakiwa na vyeti halisi vya masomo kuanzia Kidato cha IV na kuendelea kulingana na sifa za kazi, Cheti cha Kuzaliwa, Kitambulisho cha Taifa, Cheti halisi cha Ndoa (kama ipo); na Vyeti halisi vya kuzaliwa mtoto/watoto (kama wapo).
    Kwa ambao masharti ya kazi zao yanawataka kusajiliwa na Mabaraza au Bodi zao za Kitaaluma wanatakiwa kufika wakiwa na vyeti vyao vya usajili pamoja na leseni halali (valid licence) za kufanyia kazi.

    Download Hapa PDF ya Majina

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleChagua mechi za Raundi ya 3 za AFCON zenye kusisimua zaidi na 1xBet!
    Next Article Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi Leo 2026
    Kisiwa24blog

    Related Posts

    Ajira

    PDF: MAJINA ya Walioitwa Kwenye USAILI Utumishi March 2026

    March 7, 2026
    Ajira

    Walioitwa Kwenye Usaili Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA)

    March 7, 2026
    Ajira

    Nafasi 19 za Kazi Halmashauri ya Jiji la Mbeya

    March 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    March 3, 20262,290 Views

    Makabila ya Tanzania na Ngoma Zao za Asili

    June 9, 2025585 Views

    SMS za Valentine Day kwa Mpenzi

    February 5, 2025551 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    March 3, 20262,290 Views

    Makabila ya Tanzania na Ngoma Zao za Asili

    June 9, 2025585 Views

    SMS za Valentine Day kwa Mpenzi

    February 5, 2025551 Views
    Our Picks

    Ratiba Ya Mechi Za Simba SC Ligi Kuu Ya NBC Premier 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2025/2026

    March 8, 2026

    Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali

    March 8, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.