TAMISEMI: FORM FIVE SELECTION 2025/2026

_________________________________________________

MATANGAZO YA AJIRA  KILA SIKU BOFYA HAPA

_________________________________________________

NOTES ZA KIDATO CHA 1 HADI 6 BOFYA HAPA

_________________________________________________

MAGROUP MAPYA YA WHATSAAP BOFYA HAPA

_________________________________________________
MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Ratiba ya Treni Dar es Salaam Kwenda Arusha

Filed in Makala by on September 23, 2024 0 Comments

Ratiba ya Treni Dar es Salaam Kwenda Arusha

Tangazo

Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga

Ratiba ya Treni Dar es Salaam Kwenda Arusha,Habari ya wakati huu mwana Habrika24, karibu katika makala hii fupi ambayo kwa kina itaenda kukupa maelekezo juu ya ratiba ya treni Dar es Salaam kwenda Arusha. Kama unahitaji kusafiri kutoka Dar kwenda Arusha na Arush to Dar kwa usafiri wa treni basi ni muhimu kwako kuweza kufahamu ratiba ya treni.

Ratiba ya Treni Dar es Salaam Kwenda Arusha

Retiba ya Treni Dar To Arusha

Kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha Treni huwa inafanya safari zake mara tatu katika wiki. Hapa tuaenda kukunyesha ratiba ya treni kwa wiki, muda unaotumika kwa safari, kituo cha kuondokea na kituo cha kufikia

  • Treni ya Dar to Arusha hufanya safari zake Jumatatu,Jumatano na Ijumaa
  • Husafiri kwa takribani massa yapatayo 4 na Nusu
  • Kwa Dar Huanza safari yake kutoka kituo kikuu cha treni
  • Kwa Arusha hufikia katika kituo cha treni kikuu cha Arusha.

Gharama za Anauli ya Treni kutoka Dar hadi Arusha

Gharama za nauli kutoka  Dar hadi arusha ni kati ya Tsh. 22000 – 54600,Pia treni ikiwa njiani kunahuduma mbali mbali zitolewzo hasa kwenye mabehewa ya daraja la kwanza na pili, mfano wa huduma hizo ni pamoja na

  • Huduma ya vyakula
  • Huduma ya vinywaji
  • Huduma ya mapumziko

Umuhimu wa kusafiri kwa treni kutoka Dar to Arusha

Usafiri wa treni unafaida nyingi sana hasa kutokea Dar es salaam kwenda Arusha na Arusha kwenda Dar es Salaam, hapa chini tumekuwekea baadhi ya faida za kusafiri kwa kutumia treni

Gharama nafuuza Nauli

Huu ndio usafiei wenye gharama nafuu zaidi kwa wasafiri wa kutokea dar es Salaam kwenda Arusha na Arusha kwenda Dar es Salaam ukilinganisha na usafiri wa Basi au Ndege. Hauli ya treni kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha ni kati ya Tsh. 22000 – 54600, ambayo ni nafuu zaidi kuliko bei ya basi na ndege.

Utarii wa Safari

Kwa kutumia treni humpa msafiri fursa ya kufanya utarii kwa kutazama madhari nzuri za kuvutia na kufurahia safari. Barabara ya treni (reli) hupita katika mazingira ambayo humfanya msafiri licha ya kua safarini lakini pia huwa katika utarii.

Usafiri wa Mizigo Bure

Msafiri wa treni huwa na fursa ya kubeba mizigo mingi tena bila kulip[ia gharama yoyote ile tofauti na usafiriwa basi ambao huwa na kiwango cha mzigo ya abiria.

Usarama wa Safiri

Kila safari huwa na ajari lakini katika usafiri wa treni ajiari ni jambo la nadra sana hivyo kumwakikishia abiria usalama zaidi wa safari yake.

Hitimisho

Kunanjia tofauti tofauti za usafiri kutoka Dar kwenda Arusha lakini usafiri wa Treni ndio usafiri pekee wa gharama nafuu na wa uhakika kwa wasafiri. Hivyo basi tungependa kukushauli utumie usafiri huu kwa shughuli zako za kuusafiri.

Mapendekezo ya Mhariri;

1. Mfano wa Barua Rasmi

2. Bei ya Tiketi ya Treni Kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha

3. Mshahara Wa Mwalimu wa Shule Ya Msingi

4. Mshahara Wa Mwalimu Wa Diploma Ya Sekondari

5. Viwango Vipya Vya Mishahara ya Walimu Serikalini

6. Aina Za Majeshi Tanzania

7. Vigezo na Sifa za Kujiunga JKT Mujibu Wa Sheria

Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.

Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku

BONYEZA HAPA

MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *