Bei ya iPhone 16 Pro Max Tanzania 2024
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Kampuni ya Apple baada ya kutoa iPhone 16 Pro hapo hapo wakatoa tole jingine la iPhone 16 Pro max ambapo hii ni zaidi ya ile ya Pro, Ubora katika iPhone 16 Pro Max uliongezwa zaidi na ndio maana tukamua kukuletea bei halali ya simu hii ambalo ni maboresho ya matokeo ya iPhone 16 Pro.
Kama wewe ni mtumiaji wa simu za kisasa katika kampuni ya Apple basi hii ndio toleo la kisasa zaidi
Bei ya iPhone 16 Pro Max
Hapa chini tunaenda kukuwekea makadilio ya bei ya hii simu ya iPhone 16 Pro Max kwa Tanzania na bei yake inatofautiana kulingana na uwezo wa memory yake;
Bei ya iPhone 16 Pro Max Tanzania 2024:
- iPhone 16 Pro Max (256GB): TSH Milioni 2.8 hadi Milioni 3
- iPhone 16 Pro Max (512GB): TSH Milioni 3.2 hadi Milioni 3.4
- iPhone 16 Pro Max (1TB): TSH Milioni 3.8 hadi Milioni 4
Kama ulikua ukijiuliza ni simu gani unaweza kutumia basi huna budi kufanya chaguo la kumiliki simu kutoka kampuni ya Apple kwa toleo jipya la iPhone 16 Pro na iPhone 16 Pro Max, kwani hii ndio simu ya kijanja iliyoboreshwa kulingana na mwelekeo wa teknolojia.Apple imeamua kufanya mapinduzi katika bidhaa za simu kwani hadi kwa wakati huu hakuna kampuni ya simu iliyotoa simu nzuri na bora kama kampuni ya Apple.
Kama unamiliki simu hii embu dondosha komenti yako ili kuwafanya wasomaji watambue uzuri wa simu hii.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbali Mbali Duniani
2. Ratiba Ya Ligi Kuu England 2024/2025 EPL
3. Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025
4. Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu
5. Ratiba Ya Mechi Zote Za Yanga Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2024/2025
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku