Nauli Mpya Za Basi Dar es Salaam Kwenda Arusha – LATRA
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Nauli ya Basi Dar es Salaam Kwenda Arusha, Nauli ya mabasi kutoka Dar kwenda Arusha, Habati karibu kwenye makala hii ambayo itaenda kukupa mchanganuo wa nauli mpya ya basi kutka dar es salaam kwenda Arusha kwa muji wa LATRA.
lATRA ni mamlaka inayojihusisha na udhibiti wa usafiri wa aridhini. LATRA ikishitikiana na wadau wa usafiri wa aridhini upande wa mabasi hukaa pamoja na kujadiri kuhusu nauli za mabasi ya masafa marefu.
Katika makala hii tutaenda kukuonyesha nauli mpya za mabasi silizo wekwa kwa mujibu wa LATRA kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha.
Nauli Mpya Za Basi Dar es Salaam Kwenda Arusha
Aina ya mabasi Yanayofanya Safari zake Kati ya Dar na Arusha
Kuna aina kuu tatu za mabasi yanayofanya safari zake kutoka mkoa wa Dar es Salaam na Arusha
- Mabasi ya Daraja la Juu (Luxury Bus)
- Mabasi ya Daraja la Kati (Semi Luxury Bus)
- Mabasi ya Daraja la kawaida ( Ordinary Bus)
Utofautu wa madaraja ya mabasi yabayofanya safari zake kutoka Dar es Salaam kwenda Aeusha ndio yanapelekea kuwepo kwa utofauti wa nauli miongoni mwa mabasi hayo

Nauli Mpya Za Basi Dar es Salaam Kwenda Arusha
Hapa chini tunaenda kukuwekea nauli za mabasi kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha
Nauli ya Basi kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha Kupitia Bagamoyo ( Umbali wa km 625)
-Mabasi ya Daraja la kawaida (Ordinary Bus)
- Nauli ya zamani 26,000
- Nauli mpya 30,000
– Mabasi ya Dataja la kati na Juu (Semi Luxury anad Luxury Bus)
- Nauli ya zamani 36,000
- Nauli mpya 42,000
Nauli ya Basi kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha Kupitia Chalinze ( Umbali wa km 626)
-Mabasi ya Daraja la kawaida (Ordinary Bus
- Nauli ya zamani 26,000
- Nauli mpya 30,000
– Mabasi ya Dataja la kati na Juu (Semi Luxury anad Luxury Bus)
- Nauli ya zamani 36,000
- Nauli mpya 42,000
Kampuni za Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Arusha
Kuna kampuni nyingi za mabasi ambazo hufanya safari zake kutokea Dar kwenda Arusha na Arusha kwenda Dar es Salaam , kama unahitaji kuzijua kwa undani basi bonyeza hapa.
Hitimisho
Kama tulivyosema makala hii inakupa maelezo kuhusu nauli za mabasi kutoka Dar es salaam kwenda Arusha lakini kumbuka kua nauli hizi zinaweza kubadilika kutokana na sabu tofauti tofauti.
Kwa maelezo zaidi tembelea LATRA kwa kubonyeza HAPA
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Iringa
2. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Njombe
3. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Tanga
4. Mabasi ya Dar Kwenda Mtwara
5. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Musoma
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku