Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Tabora
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Mabasi ya Darm es Salaam Kwenda Tabora, MAbasi YA Tabora Dar, Habari za muda huu mwana Habarika24, katika makala haya tuaenda kukuangazia kampuni za mabasi yanayofanya safari zake katika mikoa ya Dar es Salaam na Tabora,Wewe kama ni msafiri baina ya mikoa hii miwili na bado hujafahamu ni kampuni gani za mabasi zinazotoa huduma ya usafiri katika mikoa hii basi jua ya kua makala hii fupi itakua na umuhimu mkubwa sana kwa upande wako.
Njia Ya Usafiri Kati ya Dar na Tabora
Kama unahitaji kufasafiri ndani ya mikoa hii miwili basi unaweza tumia aina mbili za usafari nayo ni;
- Usafiri wa Anga
- Usafiri wa Aridhini
Katika makala hii tutaenda angazia usafiri wa aridhini hasa upande wa kampuni za mabasi
Aina Ya Mabasi yanayofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Tabora
Kuna aina mbili za mabasi yanayotoa huduma zake kati ya mkoa wa Dar na Tabora nayo ni;
- Mabasi ya Daraja la kati (Semi Luxury Buses)
- Mabasi ya Daraja la kawaida (Ordinary class Buses)
Hapa tutaenda angazia aina zote za mabasi japokua barabara hii imetawaliwa na mabasi ya daraja la kawaida lakini yaliyo bora na yenye nguvu na imara kwa uisalama na uhakika wa safari yako.
Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Tabora
1. Abood Bus Service

2. Al-Saedy Hig Class

3. NBS classic ltd

4. Sasebosa

5. HBS Express

Tofauti ya Mabasi ya Daraja la kati na Daraja la Kawaida
Mabasi haya yanatofautiana sana, tofauti zake hutokea kwenye maeneo tofauti tofauti kama vile;
1. Huduma za runinga – Mabasi ya daraja la kawaida hayana runinga wakati daraja la kati yanazo
2. Huduma za internet mabasi ya daraja la kati hutoa huduma ya internet wakati yale ya daraja la kawaida hayana
3. Huduma za Vinywaji na Vitafunwa – Mabsi daraza la Kati hutoa huduma hii wakati yale ya daraja la kawaida hayatoi.
Hitimisho
Utofauti wa aina ya mabasi baina ya mkoa wa Dar es salaam na Tabora ndio pia hupelekea kuwepo kwa tofauti za kinauli. Mabasi ya daraja la kati kutokana na utoajai wa huduma za zida basi imepelekea kufanya nauli zake kua juu kuliko zile za mabasi ya daraja la kawaida.
Kama ulikua unatafuta kujua aina za kampuni za mabasi zinazofanya safari zake baina ya mkoa wa Dar es Salaam na ule wa Tabora basi naamini kwa maelezo machache katika makala hii utakua umepata kujua ,abasi hayo.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Mabasi Ya Dar es Salaam Kwenda Songea
2. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Arusha
3. Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Mwanza
4. Nauli ya Boti Dar es Salaam Kwenda Zanzibar
5. Jinsi Ya Kuangalia usajili wa kampuni BRELA
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku