Fomu ya Kujiunga na Usalama Wa Taifa Tanzania
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Fomu ya kujiunga na usalama wa Taifa,Habari mwana Habarka24, katibu tena katika makala mpya amabyo itaenda kukuelezea juu ya form ya kujiunga na usalama wa taifa.
Ili uweze kujiunga na idara ya usalama wa taifa inakudi pitie baadhi ya michakato ikiwemo kujaza form ya maombi ya kujiunga na idara hiyo ya usalama wa taifa.
Usalama Wa Taifa
Hii ni idara ya serikali inayojihusisha na kulinda na kusimamia usalama wa taifa nje na ndani ya mipaka ya nchi ikishirikiana na kwa karibu zaidi na mashirika megine ya usalama wa taifa ya kimataifa.
Ofisi ya usalama wa Taifa na Vyeo vyake
Ofisi ya usalama wa Taifa ni jengo linalomikiwa na idara ya usalama wa taifa ili kukamilisha majukumu yake ya kiusalama kwa kufuata taratibu za kiungozi huku nikishirikiana na mashirika mengine. Kwa maelezo zaidi juu ya ofisi ya usalama wa taifa tafazdhari bonyeza hapa
Vyeo vya usalama wa taifa ni muundo na mpangilio wa uongozi katika ofisi ya usalama wa taifa ili kuweka sawa utendaji kazi wa idara hiyo. vyeo vya idara hii vimegawanywa katika makundi kufuata mtiririko wa kimajukumu kuanzia mkurugenzi mkuu, maafisa waandamizi,maafisa wasaidizi na hatimaye maafisa wa chini. ili kupata taaeifa za kutosha juu ya vyeo vya usalama wa taifa unaweza kusoma makala kwa kubonyeza hapa

Fomu ya Kujiunga na Usalama Wa Taifa Tanzania
Ili uweze kujiunga na idara ya usala wa taifa kama tulivyosem hapo awali kua lazima upitie baadhi ya michakato, japokua idara hiyo haijaweka wazi hasa ni atua zipi unapaswa kuzipitia moja kwa moja lakini kama ilivyokua kwa vyombo vingine vya kiusalama basi hapa chini tutakuwekea hatua za kimsingi ili uweze kujiunga na idara hiyo
Sifa na vigezo vya kujiunga na idara ya Usalama wa taifa
Ili kujiunga na chuo cha usalama wa taifa na uweze kuajiliwa na kufanya kazi katika idara ya usalama wa taifa nchini Ranzania basi lazima uwe umekidhi baadhi ya sifa na vigezo;
Hapa tunaenda kukuwekea sifa na vigezo unavyotakiwa kuwa navyo ili kupata nafasi za kujiunga na chuo cha ulinzi wa Taifa;
1.Uwe Uraia Wa Tanzania.
Ili uweze kukubariwa kujiunga na chuo cha usalama wa taifa inchi Tanzania basi kigezo cha kwanza huwa ni uraia wa mwombaji, Hivyo basi basi kwa Tanzania lazima uwe RAIA WA TANZANIA.
2. Uwe na Afya Nzuri
Kabla hujajiunga na chuo cha usalama wa taifa lazima upitie vipimo mbali mbali za kiafya kwani lazima uwe na afya nzuri.
3. Uwe na Elimu Kuanzia Kidato Cha Nne
Pia ukitaka kujiunga na chuo hiki lazima uwe na elimu angalau kuanzia kidato cha nne na kuendelea
4. Usiwe na Rekodi ya Uharifu
Kma lengo lako ni kujiunga na chuo cha usalama wa taifa basi hakikisha ya kua hujawahi kua na tabia mbaya amabyo iliperekea kukupa rekodi ya aina yoyote ile ya kiharifu.
5. Usiwe na Tatoo yoyote.
Unapo taka kujiunga na chuo cha mafunzo ya usalama wa taifa basi hakikisha ya kua mwili wako haujawahi kuchorwa tatoo ya aina yoyote ile.
Mchakato Wa Kutuma Maombi
Ili kutuma maombi yako ya kujiunga na chuo cha usalama wa Taifa Tanzania itakubidi ufuate baadhi ya hatua kama vile
- Kujza fomu ya maombi
- Kufanya usahiri wa mahojiano
- Kisha Kufanya mafunzo
Unawza pia Tazama Video hii hapa
Hitimisho
Kama wewe ni miongoni mwa watu ambao ndoto zao ni kujiunga na idara hii ya usalama wa taifa basi nadhani maelezo hapo juu ya formya kujiunga na usalama wa taifa na pia kunalinki mbali mbali ambazo tumiziweka ili kukuongoza kwenda katika makala za masuala ya usalama wa taifa.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Vifurushi vya Starrtimes Na Bei Zake
2. Kitambulisho cha Usalama wa Taifa
3. Jinsi ya kubadilisha kifurushi cha Startimes
4. Vifurushi vya DSTV Na Bei Zake
5. Jinsi ya Kusajiri Kampuni Tanzania
6. JINSI ya Kupata TIN Number Online
7. jinsi ya Kujisajili na Huduma za NBC Mobile Banking
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku