Kitambulisho cha Usalama wa Taifa
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Kitambulisho cha usalama wa Taifa, Habari ya wakati huu mwana Habarika24, Ni wakati mwingine tena karibu katika makala zetu pendwa na katika makala hii tutenda kutoa maelezo mafupi juu ya kitambulisho cha afisa wa usalama wa Taifa.
Kitambulisho cha usalama wa taifa ni nyaraka ya utambulisho ambayo hupatiwa afisa au kiondozi yoyote anayefanya kazi katika idara ya usalama wa taifa chini ya ofisi ya usalama wa tafa. Kitambulisho hichi utolew ana Idara ya Usalama wa Taifa (Tanzania Intelligence and Security Service – TISS) nchini Tanzania.
Usalama wa Taifa
Usalama wa taifa hii ni idara inayo jihusisha na usimamizi wa ulinz na usalama wa nchi ndani na nje ya mipaka ya taifa huku ikishirikia na kwa katibu zaidi na mashirika megine ya ulinz i ya kimataifa.
Ofisi Ya Usalama wa Taifa na vyeo Vyake
Ofisi ya usalama wa taifa ni jengo linalomilikiwa na idara ya usalama wa taifa wa Tanzania na ndiuo sehemu ambayo majukumu ya kiutendaji katika swala la ulizniz na usalama wa nchi hutekelewza.
Katika ofisi ya usalama wa taifa maofisa na watendaji wa idara hiyo wamgawanywa kwa kuzingatia vyeo mbalimbali kama vile mkurugezi mtendaji mkuu, maafisa wa ngazi za juu, maasifa waandamizi na maasifa wa chini na kila ngazi inamajukumu yake ya kimsingi katika utendaji, Ili kusoma kwa kina juu ya Vyeo vya usalama wa taifa tafadhari bonyeza HAPA.

Majukumu ya Idara ya Usalama wa Taifa
Idara ya usalama wa taifa ndio taasisi kuu ya kulinda na kusimamia jukumu la usalama wa nchi ndani na nje ya mipaka ya nchi ya Tanzania. Idara hii kupitia maafisa wake inajukumu kuu la kukusanya na kuchakata taarifa za kiusalama kisha kutoa ripoti ya taarifa zake na kuishauli serikali. Pia hufanya kazi ya kuhakikisha usalama wa nchi unalindwa iwe ndani hata nje ya mipaka ya nchi
Mfano pindi kiongozi mkubwa wa nchi kama vile raisi, makamu wa raisi au wazili mkuu anaposafiri kwenda nje ya nchi ni jukumu la idara ya usalama wa taifa kuhakikisha ulinzi na usalama wa kiongozi huyo.
Yote haya pamoja na kufanywa na idara ya usalama wa taifa lakini pia idara hiyo hushirikiana kwa karibu zaidi na mashirika mengine ya kiusalama ya kimataifa ili kuhakikisha na kuimalisha usalama wa nchi.
Kitambulisho cha Usalama wa Taifa
Faida za Kitambulisho cha Usalama wa Taifa
Kitambulisho cha usalama wa taifa kinaumuhimu au faida nyingi sana kwa afisa wa usala wa taifa pindi anapokua nacho na ndio maana idara ya uslama wa taifa ikaamua kutengeneza kitambulisho hiki na kumpatia afisa yoyoyte yule anayefanya kazi chini ya idara hiyo.
Zifuatozo ni moingoni mwa faida za afisa usalama kuwa na kitambulicho cha usalama wa taifa;
1. Kumtambulisha Afisa Usalama Wa Taifa
Faida/umuhimu wa kitambulisho cha usalama wa taifa kwanza ni ule usiokua tofauti na vitambulisho vingine kama cha taifa, kwani hutumika kumtambulisha mtumiaji kama ni mfanyakazi wa idara ya usalama wa taifa,japo kua mtumiaji wa kitambulisho hichi huwa hawavionyeshi wazi wazzi mbele ya umma hii ni kutokana na usiri wa majukumu yao.
2. Humpa Afisa Kibari Cha kuingi Maeneo Zuizi
Kitambulisho hiki pia umpa uwezo mtumiaji ambaye ni afisa usalama kuweza kuingia katika maeneo ambayo hata yakiwa ni nyeti kulingana na majukumu yake
3. Kuboresha Ulinzi Na Usalama wa Nchi
Kama lilivyo jukumu la idara ya usalama wa taifa pia kitambulisho cha taifa humpa uwezo na mamlaka afisa wa uasama aliyenacho kuhakikisha utulivu na amani ya nchi ipo sawa kwa kuahikisha anatekeleza majukumu yake ipasavyo kulingana na ngazi ya cheo chake.
4. Kunimarisha Ushiriiano wa Kimataifa
Idara ya usalama wa taifa pamoja na kutimiza majukumu yake ya kiusalama lakini aafisa wake kwa ukaribu zaidi hushirikiana na mashirika ya kimataifa katika kuhakikisha usalama wa nchi upo sawa, hivyo basi kwa afisa kua ana kitambulisho cha taifa humpa uhuru wa kushirikiana moja kwa moja na mashirika mengine ya kiusalama ya kimataifa na kuimalisha usalama wa nchi.
Njinsi ya Kujiunga na Usalama wa Taifa
Kama imekua ni ndito zako kuwa miongoni mwa watumishi wa idara ya usalama wa taifa basi huna budi kwanza kujua sifa na vigezo vya kujiung na usalama wa taifa. Kuna vigeo na sifa mbali mbali ambazo vimewekqwa na idara kwa mujibu wa sheria ili mtu aweze kujiunga na idara hiyo nje ye utaifa na rekodi ya nidhamu ya mwombaji pia unaweza soma vigezo vingine kwa kubonyeza HAPA.
Hitimisho
Usalam wa taifa ni kazi nzuri sana kwa mshara hata wadhifa wake kwani wanofanya kazi chini ya idara ya usalama wa taifa hueshimika sana ulaini ikiachilia mbali wale wa idara ya ulinzi ya jeshi. Hivyo basi wewe ukiwa kama mtumishi au uanyetaka kujiunga na idara hii ya usalama wa taifa kumbuka kua kuwa na kita,bulisho cha usalama wa taifa ni muhimu sana kutokana na faida zake lukuki.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. LATRA: Nauli Mpya Za Mabasi Ya Mikoani
3. TIRA MIS Uthibitishaji wa Uhai wa Bima Ya Gari.
4. Jinsi ya Kuangalia Salio NBC Bank
5. JINSI ya Kupata TIN Number Online
6. Jinsi ya Kusajiri Kampuni Tanzania
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku