Nafasi Mbali Mbali Za kazi zilizotangazwa Agosti 2024
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Habari, katika ukrasa huu tunakuletea mkusanyiko wa ajira mpya/nafasi mpya za kazi zilizotangawa katika mwezi wa 8 mwaka 2024. Ajira hizi zinajumuisha zile za kiserikali na zile za makampuni binafsi. Ili kutuma maombi hakikisha unabonyeza linki ya nafasi ya kazi husika ili kusoma maelekezo, vigezo na njia ya kutuma maombi.
Nafasi Mbali Mbali Za kazi zilizotangazwa Agosti 2024
Hakikisha unabonyeza linki ya kazi husika hapo chini ili kusoma sifa,vigezo na njia ya kutuma maombi yako;
1. Nafasi Mpya 10 Za Kazi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
2. Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe Agosti 2024
3. Nafasi Mpya 17 Za Kazi Kutoka Halmashauri ya Mji Kondoa
4. Nafasi Mpya za Kazi Kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma Agosti 2024
5. Nafasi Mpya Za Kazi Wizara ya Maji Agosti 2024
6. Nafasi Mpya 4 Za Kazi Kutoka Chuo kikuu cha Mzumbe Agosti 2024
7. Nafasi Mpya 18 Za Kazi Kutoka Halmashauri Ya Wilaya Ya Tunduru
8. Nafasi Mpya 18 Za Kazi Kutoka Halmashauri Ya Mji Kasulu
9. Tangazo La Nafasi Za Kazi Taasisi Mbalimbali Za Elimu
10. Nafasi Mpya 13 za Kazi Kutoka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)
11. Nafasi Mpya 17 za Kazi Kutoka Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA)
12. Nafasi Mpya za Kazi Kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
13. Nafasi Mpya 224 Za Kazi Kutoka Utumishi (PSRS) Agosti 2024
14. Nafasi Mpya 216 Za Kazi Taasisi Mbalimbali Za Umma Agosti 2024
15. Nafasi Mpya 96 za Kazi Kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege
16. Nafasi za kazi Afisa Ushirika Daraja La II Kutoka MDAs na LGAs
17. Nafasi za kazi Afisa Ushirika Daraja La II Kutoka MDAs na LGAs
18. Nafasi Mpya Za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Nzega Augost 2024
19. Nafasi Mpya 29 za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Mbogwe