Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Makala»Sifa Za Kujiunga na Kozi ya Nursing Ngazi ya Diploma 2025/2026
    Makala

    Sifa Za Kujiunga na Kozi ya Nursing Ngazi ya Diploma 2025/2026

    Kisiwa24By Kisiwa24April 29, 2025No Comments3 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Sifa Za Kujiunga na Kozi ya Nursing Ngazi ya Diploma, Habari kama wewe ni mhitimu wa sekondari na unahitaji kujiunga na kozi ya uuguzi katika ngazi ya diploma basi usiwe na shaka kweni hapa tutaenda kukupa mwongozo wa sifa na vigezo ya kusoma Nursing k atika vyuo mbali mbali vinavyotoa kozi hiyo ya uuguzi.

    Wakati unafikilia kufanya chaguzi ya chuo cha kusoma kozi ya uuguzi (Nursing) basi ni vyema kufahamu kwanza sifa na vigezo vya msingi vya kujiunga na kozi hiyo kwa ngazi ya diploma Kwa kufanya hivyo itakua na msaada kwako kwa kufanya uamuzi wa kuchagua chuo gani cha kusoma kozi ya uuguzi kwa ngazi ya Diploma

    Sifa Za Kujiunga na Kozi ya Nursing Ngazi ya Diploma

    Vigezo na sifa za kusoma kozi ya uuguzi (Nursing) kwa ngazi ya Diploma kwa vyuo vingi nchini Tanzania hutofautiana kutoka chuo kimoja kwenda chuo kingine, lakini chuo vingi huwa na mahitaji ya waombaji waliokua na elimu ya sekondari ya kidato cha sita akiwa na ufaulu mzuri wa masomo ya sayansi kama vile kemia, bilojia na fizikia.

    Pia zaidi ya kua na elimu ya sekondari ya kidato cha sita yenye ufaulu mzuri waombaji wanatakiwa kuwa na cheti cha ufundi cha mwaka mmoja (NTA Level 5) katika uuguzi au kinacholingana nacho kabla ya kukubaliwa kujiunga na programu ya diploma ya uuguzi.

    Diploma ya uuguzi ndio chanzo cha maalifa kwa wanafunzi wanaohitajika kujiunga na ngazi ya degree ya uuguzi inayofanyika kwa muda wa miaka minne.

    Orodha ya Vyuo Vinavyotoa Kozi ya Nursing Ngazi ya Diploma

    Hapa chini ni baadhi ya vyuo vinavyotoa kozi ya uuguzi (Nursing) ngazi ya Diploma Tanzania

    1. Chuo kikuu cha afya na sayansi shirikishi Muhimbili,
    2. Chuo kikuu cha St john cha Tanzania,
    3. Chuo kikuu cha St. Joseph
    4. Chuo cha sayansi ya afya Teofilo kisanji.
    5. Chuo kikuu – Mbeya,
    6. Chuo Kikuu cha Jimbo la Zanzibar,
    7. Chuo Kikuu cha Dodoma
    8. Chuo kikuu cha Zanzibar

    Sifa Za Kujiunga na Kozi ya Nursing Ngazi ya Diploma

    Hapa chini tunaenda kukuwekea sifa na vigezo vinavyohitajika kwa mwombaji anaetaka kujiunga na kozi ya uuguzi (Nursing) kwa ngazi ya Diploma kwenye chuo chochcote kile

    1. Mwombaji anapaswa kua amehitimu elimu ya sekondari kidato cha 6

    2. Awe na cheti cha NECTA (ACSEE) chenye ufaulu mzuri wa pass 5 kwenye masomo ya msingi ikiwa ni pamoja na somo la hisabati na kingereza na angalau credit 3 kutoka kwenye masomo ya biologia, kemia na fizikia.

    3. Kwa mwombaji wa Diploma ya kawaida ya uuguzi na ukaga ( Ordinary Nursing Diploma) anatakiwa kua na ufaulu wa pass nne kwenye masomo ya msingi ikiwa pamoja na kemia, biolojia na sayansi ya fizikia/uhandisi kwenye cheti cha sekondari (CSEE).

    4. Mwombaji mwenye ufaulu wa masomo ya Hisabati ya msingi (Basic Mathematics) na lugha ya kingereza huchukuliwa kama vigezo vya nyongeza.

    5. Pia waombaji waliohitimu kozi ya ufundi (NTA Level 5) katika uuguzi na ukunga kutoka taasisi yoyote inayotambuliwa na NACTEVET wanaweza kujiunga na kozi hii ya uuguzi kwa ngazi ya Diploma

    Mapendekezo ya mhariri:

    1. Vigezo Na Sifa Za Kujiunga Na Chuo Cha Mweka

    2. Sifa Za Kujiunga Na Chuo Cha Diplomasia

    3. Sifa za Kujiunga Archbishop Mihayo University College of Tabora

    4. Vigezo Na Sifa Za Kujiunga Na Chuo Cha Ardhi Dar es Salaam

     

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleSifa Za Kujiunga Na Degree Kutoka Diploma 2025/2026
    Next Article Sifa za kujiunga na kozi za Certificate (cheti) 2025/2026
    Kisiwa24

    Related Posts

    Makala

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026
    Makala

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 2025
    Makala

    Jinsi ya kupika Pilau kwenye Rice Cooker

    October 9, 2025
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202554 Views

    Jinsi Ya Kupata Prem Number Kwa Urahisi Tanzania

    July 15, 202531 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202530 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202554 Views

    Jinsi Ya Kupata Prem Number Kwa Urahisi Tanzania

    July 15, 202531 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202530 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.