Nafasi za Kazi Kutoka Geita Gold Mining Ltd (GGM)

Nafasi za Kazi Kutoka Geita Gold Mining Ltd (GGM)
Nafasi za Kazi Kutoka Geita Gold Mining Ltd (GGM)
MATANGAZO YA AJIRA BOFYA HAPA

Geita Gold Mining Ltd (GGL) ni moja kati ya migodi mikuu na yenye uzalishaji mkubwa zaidi wa dhahabu nchini Tanzania. Mgodi huo unazolishwa na kampuni ya Anglogold Ashanti, moja ya makampuni makuu duniani katika uchimbaji wa dhahabu, na uko katika Mkoa wa Geita. GGL imekuwa nyenzo muhimu katika uchumi wa Tanzania kwa kushiriki kikamilifu katika sekta ya madini ambayo ni mapato makuu ya kigeni kwa nchi. Uzalishaji wake unaendelea kuchangia kwa kiasi kikubwa kwa pato la taifa (GDP) na kuweka Tanzania katika ramani ya kimataifa kama nchi inayozalisha dhahabu.

Zaidi ya uchimbaji wa madini tu, GGL imejikita sana katika kuharakisha maendeleo ya jamii za Geita na Tanzania kwa ujumla. Kampuni hiyo inatekelezza miradi mingi ya kijamii na kiuchumi ikiwemo ujenzi wa shule, zahanati, na miundombinu ya maji safi, na kuwapa uwezo wa kimaisha wanajamii. Aidha, GGL inajenga uwezo wa kitaaluma kwa kutoa mafunzo na fursa za ajira kwa maelfu ya Watanzania, wengi wao wakiwa wenyeji wa Mkoa wa Geita. Kwa kufanya hivyo, kampuni imekuwa mfano mzuri wa jinsi sekta ya madini inavyoweza kuwa msukumo wa maendeleo endelevu na ustawi wa jamii.

Nafasi za Kazi Kutoka Geita Gold Mining Ltd (GGM)

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI

error: Content is protected !!