Matokeo Wiliete SC Vs Yanga Leo 19/09/2025

Matokeo Wiliete SC Vs Yanga Leo 19/09/2025 – Ligi ya Mabingwa Afrika (Hatua ya Awali ya Mtoano)

Klabu ya Young Africans SC (Yanga SC) imewasili nchini Angola kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2025/26. Timu hiyo ya Tanzania inatarajiwa kushuka dimbani Ijumaa hii kwenye Uwanja wa Estadio 11 de Novembro kupepetana na wenyeji wao, Wiliete Sports Clube.

Mchezo huo unatarajiwa kuanza majira ya saa 12:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki, na ni sehemu muhimu kwa Yanga SC katika harakati zao za kutafuta nafasi ya kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Kwa mashabiki wa Yanga SC, hii ni nafasi nyingine ya kushuhudia kikosi chao kikijitahidi kuendeleza rekodi nzuri kwenye mashindano ya kimataifa. Ushindi wa ugenini unaweza kuwa chachu kubwa kwao kabla ya mchezo wa marudiano utakaochezwa jijini Dar es Salaam.

LIVE Wiliete SC vs Yanga SC 19 September 2025

Kipindi Cha kwanza

Wiliete Sc 0 – 1 Yanga Sc

-Dk 30 Azizi Andambeile

 

Kipidi Cha Pili

Wiliete Sc 0 – 2 Yanga Sc

-Dk 30 Azizi Andambeile

-Dk 70 Edimund John

-Dk 80 Prince Dube

 

error: Content is protected !!