Nafasi za kazi Msaidizi Wa Ufugaji Nyuki Daraja La II Kutoka MDAs na LGAs Nafasi 47 August 2024
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
POST MSAIDIZI WA UFUGAJI NYUKI DARAJA LA II (BEEKEEPING ASSISTANT II) – 47 POST
EMPLOYER MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE: 2024-08-03 2024-08-16
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kusimamia manzuki;
ii.Kutunza hifadhi za nyuki;
iii.Kukusanya takwimu za ufugaji nyuki;
iv.Kutunza kumbukumbu za kazi za utafiti;
v.Kuondoa nyuki wanaodhuru binadamu na mifugo;
vi.Kutoa leseni za biashara za mazao ya nyuki;
vii.Kutoa ushauri wa kitaalam kwa wananchi juu ya ufugaji endelevu wa nyuki na matumizi bora ya mazao ya nyuki; na
viii.Kutunza makundi ya nyuki wanaouma na wasiouma
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne au Sita wenye Astashahada ya Ufugaji Nyuki kutoka Vyuo vinavotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS. B