MATOKEO Simba Sc vs Kagera Sugar Leo 22 June 2025
Baada ya kupata ushindi wa goli 5 kwa 0 dhidi ya KenGold kwenye mchezo uliopita 18/06/2025 leo klabu ya Simba inaenda kukamilisha mchezo wake wa round ya 29 ikiwa kwenye uwanja wake wa nyumbani jijini Dar es Salaam dhidi ya Kagera Suger.
Kuelekea mcheo huu leo Kisiwa24 Blog kupitia ukurasa huu tutakuletea matukio na matokeo ya mchezo huu kuanzia majira ya saa 10:00 jioni LIVE, Cha kufanya usiache kutembelea kurasa hii kila mara mara baada ya mchezo kuanza kuanzia majira ya saa 10:00 za jioni.
Soma Pia
-
KIKOSI cha Yanga vs Dodoma Jiji leo 22 June 2025
-
MATOKEO Yanga vs Dodoma Jiji leo 22 June 2025
-
KIKOSI cha Simba Sc vs Kagera Sugar Leo 22 June 2025
MATOKEO Simba Sc vs Kagera Sugar Leo 22 June 2025
Malezo ya Mchezo
Ligi: Ligi kuu ya NBC
Mchecho: Mchezo wa Round ya 30
Timu: Simba Sc vs Kagera Sugar
Uwanja: KMC Complex Dar es Salaam
Muda: 10:00 Jioni
LIVE Simba Sc vs Kagera Sugar Leo 22 June 2025
Hapa chini ni matokeo ya mchezo wa Simba Sc vs Kagera Sugar leo 22 June 2025
Kipindi Cha Kwanza
Simba Sc 0 – 0 Kagera Sugar