KIKOSI cha Yanga vs Tanzania Prisons Leo Jun 18, 2025
Leo Juni 18, 2025 ligi kuu ya NBC Tanzania bara inaenda kutimua vumbi huku klabu ya Yanga ikiikabili klabu ya Tanzania Prisons kwenye mchezo wa Round ya 29.
KIKOSI cha Yanga vs Tanzania Prisons Leo Jun 18, 2025
Kuelekea mchezo huuu kisiwa24 tuko hapa kukujuza vikosi vya timu zote mbili vitakavyoenda kucheza kwenye mchezo wa leo.
Maelezo ya Mchezo
Ligi: Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara
Mchezo: Mchezo wa Round ya 29
Timu: Tanzania Prisons vs Yanga Sc
Uwanja: Sokoine Stadium,Mbeya
Muda: 4:00 jioni
Kikosi cha Yanga vs Tanzania Prisons Leo Juni 18, 2025
Hapa chini ninkikosi cha Yanga kinachoenda kucheza dhidi ya Tanzania Prisons Leo 18 June 2025
Kikosi cha Tanzania Prisons vs Yanga Sc Leo Juni 18, 2025
Hapa chini ni kikosi cha Tanzania Prisons Kitakachoenda kuikabili Yanga Sc leo kwenye mchezo wa roundi ya 29 wa ligi kuu ya NBC