Jezi Mpya Ya Yanga Sc Msimu Wa 2024/2025 , Habari mwanamichezo wa Habarika24, Karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukuonyesha juu ya jezi mpya za klabu ya Yanga zitakazoenda kutumika katika msimu huu mpya wa 2024/2025.
Nafasi ya Yanga Msimu UliopitaMsimu uliopita katika ligi kuu ya NBC klabu ya Yanga alimaalufu kama wana jangwali walimaliza msimu kwa kutwaa ubingwa wa ligi hiyo kwa kumaliza ligi wakiwa katika nafasi ya kwanza huku wapinzani wao Simba wakiwa katika nafasi ya 3 na nafasi ya pili ikishikiliwa na klabu ya Azam.
Msimu Mpya wa 2024/2025Msimu mpya unaenda kuanza na tayari klabu ya Yanga emetangaza kuachia mwonekano mpya wa jezi zake zitakazotumika katika mashindano mbali mbali. Hivyo basi kama wewe ni shabiki wa Yanga basi huna budi kutazama bei elekezi ya jezi mpya za Yanga kwa msimu huu mpya wa 2024/2025.
JIUNGE NA WHATSAPP CHANNEL YETU HAPA , JIUNGE NA WHATSAPP GROUP LETU HAPA , Jezi Mpya Ya Yanga Sc Msimu Wa 2024/2025Hapa chini ni nmaelekezo ya kutosha kuhusu utolewaji wa jezi mpya za klabu ya YAnaga kwa msimu huu mpya wa mwaka 2024, hapa tumekuwekea njinsi jezi zitakavyotolewa na bei zake kwa kila jezi
Bei Elekezi Za Jezi Mpya Za Yanga Msimu wa 2024/2025Uzi mpya wa Yanga Sc klabu tayari uko hewani kwa msimu huu mpya wa 2024/2025.
Wananchiiiiiiii mpo tayariiiiii kwa jenzi mpyyaa?
PRE-ORDER PRICE – 32,000/= 𝐊𝐔𝐀𝐍𝐙𝐈𝐀 𝐏𝐂𝐒 𝟏𝟐𝟎
Hii yote ni kwa wafanya biashara wa jumla na matawi ya Yanga
Ili kuweka oda Yako mapema tafadhari tumia mawasiliano hapo chini:
wasiliana nasi Kupitia:
✓0745 000 000
✓0780 900 400
Kumbuka bei hiyo ya 32,000 ni kuanzia PC 120.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Kikosi Cha Yanga Msimu Wa 2024-2025
2. Wachezaji wanaolipwa pesa nyingi Tanzania 2024
3. Ligi Bora Africa 2024
4. CAF Orodha Ya Vilabu Bora Afrika
5. Kikosi cha Simba SC Msimu wa 2024/2025
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa unamaswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku
BONYEZA HAPA
JIUNGE NA WHATSAPP CHANNEL YETU HAPA , JIUNGE NA WHATSAPP GROUP LETU HAPA ,