TAKWIMU ya Simba Sc Hadi Sasa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025

Kwa AJIRA Mpya Kila Siku (BOFYA HAPA)

_____________________________________

Ikiwa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara inaelekea mwishoni Kisiwa24 Blog tunakuletea takwimu za mwekundu wa msimbazi Simba Sc klabu tangu kuanza kwa ligi kuu ya NBC hadi kufikia sasa.

Hapa tutatazama hasa michezo mingapi imecheza, imeshinda michezo mingapi, imefungwa michezo mingapi,imetoa sare michezo mingapi, tofauti ya magoli na iko katika nafasi ya ngapi kwenye msimamo wa ligi kuu ya NBC.

TAKWIMU ya Simba Sc Hadi Sasa Ligi Kuu ya NBC

TAKWIMU ya Simba Sc Hadi Sasa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025

NAFASI2
ALAMA66
MECHI25
USHINDI21
SARE3
KUFUNGWA1
MAGOLI YA KUFUNGA60
MAGOLI YA KUFUNGWA10
TOFAUTI YA MAGOLI50

 

Leave your thoughts

error: Content is protected !!