Wafungaji Bora Ligi Kuu Uingereza EPL 2025/2026 (Top Scorers EPL)

Filed in Michezo by on April 1, 2026 0 Comments

Orodha ya Wafungaji Bora Ligi Kuu Uingereza EPL 2025/2026, vinara wa magoli ligi kuu ya uingereza EPL msimu wa 2025/2026, Habri ya wakati huu mwanamichezo wa Kisiwa24 karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukuonyesha juu ya orodha ya wafungaji bora wa ligi kuu ya Uingereza EPL 2025/2026.

ligi kuu ya EPL imesha anza kutimua vumbi na miongoni mwa wachezaji tayri wamesha anza kuonyesha uwezo wao wa ufungaji wa magoli ili kuwania kiautu cha ufungaji bora. Hapa kwenye makala hii tumekuwekea orodha ya wafungaji bora wa EPL 2025/2026.

Orodha ya Wafungaji Bora Ligi Kuu Uingereza EPL 2025/2026

Orodha hii inabadilika kila mechi zinavyokua zikichezwa hivyo basi hata sisi tutakua tukitoa update mpya kila wakati ili kuenda na mwenendo wa ligi kuu ya Uingereza, wachezaji wa timu mbali mbali wanaingia kwenye orodha hii.

Orodha ya Wafungaji Bora Ligi Kuu Uingereza EPL 2025/2026

Top Scorers EPL 2025/2026

RK Name Team P G
1 Erling Haaland Manchester City 29 22
2 Igor Thiago Brentford 31 19
3 Antoine Semenyo Manchester City 29 15
4 João Pedro Chelsea 31 14
5 Danny Welbeck Brighton & Hove Albion 30 12
6 Viktor Gyökeres Arsenal 29 11
Hugo Ekitike Liverpool 28 11
8 Harry Wilson Fulham 29 10
Dominic Calvert-Lewin Leeds United 28 10
10 Morgan Gibbs-White Nottingham Forest 31 9
Ollie Watkins Aston Villa 30 9
Raúl Jiménez Fulham 30 9
Bryan Mbeumo Manchester United 26 9
Richarlison Tottenham Hotspur 26 9
Benjamin Sesko Manchester United 26 9
Junior Kroupi AFC Bournemouth 26 9
Bruno Guimarães Newcastle United 23 9
Cole Palmer Chelsea 21 9
19 Jarrod Bowen West Ham United 31 8
Morgan Rogers Aston Villa 31 8
Enzo Fernández Chelsea 30 8
Bruno Fernandes Manchester United 28 8
Jean-Philippe Mateta Crystal Palace 24 8
Zian Flemming Burnley 22 8
25 Jaidon Anthony Burnley 30 7
Casemiro Manchester United 29 7
Kevin Schade Brentford 28 7
Matheus Cunha Manchester United 28 7
Nick Woltemade Newcastle United 27 7
Phil Foden Manchester City 26 7
Ismaïla Sarr Crystal Palace 20 7
32 Thierno Barry Everton 31 6
Beto Everton 31 6
Evanilson AFC Bournemouth 29 6
Cody Gakpo Liverpool 29 6
Bukayo Saka Arsenal 28 6
Eberechi Eze Arsenal 26 6
Iliman Ndiaye Everton 25 6
Anthony Gordon Newcastle United 25 6
Lukas Nmecha Leeds United 25 6
Kiernan Dewsbury-Hall Everton 24 6
Brian Brobbey Sunderland 24 6
43 Martín Zubimendi Arsenal 31 5
Harvey Barnes Newcastle United 30 5
Dominik Szoboszlai Liverpool 29 5
Pedro Neto Chelsea 29 5
Emiliano Buendía Aston Villa 29 5
Diego Gómez Brighton & Hove Albion 28 5
Marcus Tavernier AFC Bournemouth 27 5
Leandro Trossard Arsenal 26 5

Msimu umekua wa ushindani wa hali ya juu huku aliyeibuka kidedea katika msimu uliopita wa 2025/2026anajaribu kutetea taji lake kwa kuendelea kupambana na kuongoja orodha ya wafungaji bora wa msimu huu mpya wa 2025/2026

JE, WEWE NI MIONGONI MWA  WATAFUTA KAZI?


Basi Unaweza Kujiunga na Watanzania Wenzako ili Kupata Matangazo ya Ajira Mpya Kila Siku Kutoka Serikalini na Kampuni Mbalimbali kwa Kugusa HAPA TU


Sambaza Kwa Ndugu na Marafiki ili nao Pia Waweze kupate Nafasi hizi Kila Siku.


JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM YETU HAPA.

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WhatsApp Channel Join Now!