NAFASI za Kazi Kilombero Sugar Company Limited

Filed in Ajira by on March 22, 2026 0 Comments

Kampuni ya Sukari ya Kilombero ni moja kati ya viwanda vikubwa vya uzalishaji wa sukari nchini Tanzania. Ipo katika bonde la mto Kilombero, mkoani Morogoro, kampuni hii ina mashamba makubwa ya miwa na pia hununua miwa kutoka kwa wakulima wadogo wanaoizunguka. Kilombero Sugar Company ina jukumu muhimu katika kuchangia pato la taifa kupitia uzalishaji wa sukari, ajira kwa maelfu ya Watanzania, na pia katika kukuza maendeleo ya jamii kwa njia ya miradi ya kijamii kama vile afya, elimu, na miundombinu.

Kwa sasa, Kilombero Sugar Company imeongeza uwezo wake wa uzalishaji kwa kuwekeza katika teknolojia ya kisasa na kupanua mashamba yake ya miwa. Pia imekuwa mstari wa mbele katika kushirikiana na wakulima wadogo kwa kuwapatia elimu ya kilimo bora, pembejeo, na mikopo, ili kuongeza tija katika kilimo cha miwa. Ushirikiano huu umeimarisha uchumi wa maeneo ya vijijini na kuwasaidia wakulima kuwa na maisha bora zaidi. Kampuni hii inaendelea kuwa nguzo muhimu katika sekta ya viwanda na kilimo nchini Tanzania.

NAFASI za Kazi Kilombero Sugar Company Limited

Ili kuweza kusoma vigezo kwenye kila nafasi ya kazi hapo juu na njia ya kutuma maombi tafadhari bonyeza kwenye linki hapo chini;

JE, WEWE NI MIONGONI MWA  WATAFUTA KAZI?


Basi Unaweza Kujiunga na Watanzania Wenzako ili Kupata Matangazo ya Ajira Mpya Kila Siku Kutoka Serikalini na Kampuni Mbalimbali kwa Kugusa HAPA TU


Sambaza Kwa Ndugu na Marafiki ili nao Pia Waweze kupate Nafasi hizi Kila Siku.


JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM YETU HAPA.

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *