Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Ajira»MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
    Ajira

    MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

    Kisiwa24blogBy Kisiwa24blogDecember 13, 2025No Comments1 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali
    waliofanya usaili tarehe 5 Desemba, 2025 kuwa, majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili
    huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
    Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kwa kufika
    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) jengo la Utawala, Ofisi ya Masjala, Chumba Na.
    315 siku ya Jumatatu, tarehe 15 Desemba, 2025 kuanzia saa tatu kamili asubuhi,
    wakiwa na nyaraka zilizoainishwa katika tangazo hili ili ziweze kuhakikiwa kabla ya
    kupewa barua za ajira.
    Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili, watambue kuwa hawakupata
    nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine pindi nafasi za kazi
    zitakapotangazwa.

    Nyaraka za kuwasilisha ni kama ifuatavyo:

    1. Vyeti halisi (Original Certificates and Transcripts) na nakala mbili za vyeti hivyo
      ambazo zimethibitishwa na Mamlaka za kisheria (certified by
    2. Advocate/Magistrate) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea;
    3. Cheti cha kuzaliwa;
    4. Nakala ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA); na
    5. Picha ndogo nne za rangi (four coloured passport size photographs)

    MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

    Bonyeza Hapa Kudownload PDF ya Tangazo

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleNAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
    Next Article Wadudu – Shikolobo New Audio Free Download MP3
    Kisiwa24blog

    Related Posts

    Ajira

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Ajira

    NAFASI 33 za Kazi Chuo Cha MUST

    January 3, 2026
    Ajira

    NAFASI 10 za Kazi Halmshauri ya Mji Babati

    January 3, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202547 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202529 Views

    Sifa Za Kujiunga Na Chuo Cha Usalama Wa Taifa 2025

    April 27, 202525 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202547 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202529 Views

    Sifa Za Kujiunga Na Chuo Cha Usalama Wa Taifa 2025

    April 27, 202525 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.