Historia ya Julius K. Nyerere, Mke, Watoto Na Elimu
ulius Kambarage Nyerere alizaliwa tarehe 13 Aprili 1922 katika kijiji cha Butiama, Wilaya ya Musoma, Mkoa wa Mara. Alikuwa mmoja wa watoto 26 wa chifu Nyerere Burito wa kabila la Wazanaki. Alilelewa kwenye familia ya wafugaji na alichunga mbuzi wakitokea umri mdogo . Mzazi wake, mama Mgaya Nyang’ombe, alimlea kwa bidii licha ya mazingira magumu ya kifamilia Elimu ya Awali
Continue reading