PDF: MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu cha UDSM June 2025
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Taaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 13 hadi 16 Julai 2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- 1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na
Continue reading