NAFASI 12 za Kazi Misungwi District council July 2025
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wialaya ya Misungwi amepata kibali kipya cha ajira kwa ikama ya mwaka 2024/2025 chenye Kumb.Na FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili 2025 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Kufuatia kibali hicho Mkurugenzi wa halmashauri ya Mji Mbulu anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi za kazi
Continue reading