Chuo cha Nursing Kahama
Chuo cha Nursing Kahama, pia kinachojulikana kama Kahama School of Nursing and Midwifery, ni taasisi ya serikali iliyo chini ya Halmashauri ya Mji wa Kahama, Mkoa wa Shinyanga. Ilianzishwa rasmi tarehe 1 Julai 1977 na kinatambulika kimataifa kupitia NACTVET (Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi) chini ya nambari REG/HAS/064 Historia na Usajili Tarehe ya Kuanzishwa: 1 Julai 1977 Usajili:
Continue reading