NAFASI za Kazi Tanroads July 2025
TANROADS (Wakala wa Barabara Tanzania) ni taasisi ya serikali chini ya Wizara ya Ujenzi, inayosimamia matengenezo, ujenzi na usimamizi wa barabara kuu na za mikoa nchini Tanzania. Ilianzishwa kwa madhumuni ya kuhakikisha miundombinu ya barabara inakuwa bora, salama na inayochochea maendeleo ya kiuchumi. TANROADS inahusika pia na madaraja, barabara za lami na changarawe, pamoja na kuhakikisha ubora wa kazi zinazotekelezwa
Continue reading