Jinsi ya Kuangalia Call Forwarding Code Kwenye Android na Iphone
Kumekuwa na ongezeko la visa ambapo wamiliki wa simu wanagundua simu zao zinaelekezwa kwa namba nyingine bila wao kujua. Hali hii inaweza kuwa hatari kwa faragha yako na usalama wa mawasiliano yako. Makala hii itakuonyesha jinsi ya kuangalia call forwarding code kwenye Android na iPhone, ikiwa ni hatua muhimu kwa kila mtumiaji wa simu. Call Forwarding ni Nini? Call Forwarding
Continue reading