Post Archive by Month: July,2025

Maswali ya Interview ya Kazi ya Udereva Serikalini

Kujiandaa kwa interview ya kazi ya udereva serikalini ni hatua muhimu kuelekea mafanikio yako ya ajira. Kama unatafuta nafasi katika taasisi za serikali kama vile wizara, mamlaka ya miji, au mashirika ya umma, basi unapaswa kuelewa aina ya maswali ya interview ya kazi ya udereva serikalini na namna bora ya kuyajibu. Umuhimu wa Kujiandaa kwa Interview ya Udereva Serikalini Kazi

Continue reading

Maswali ya Interview Ajira za Records Management

Katika ulimwengu wa ajira, nafasi zinazohusiana na Records Management zimekuwa muhimu sana, hasa katika taasisi za umma na binafsi. Ikiwa unaomba kazi kama Afisa wa Kumbukumbu au Msimamizi wa Nyaraka, basi makala hii itakusaidia kujiandaa kwa maswali ya interview ya Records Management. Records Management ni Nini? Records Management ni mchakato wa kupanga, kutunza, kuhifadhi, na kudhibiti nyaraka na kumbukumbu za

Continue reading

PDF: MAJINA ya Walioitwa Kwenye USAILI Utumishi Leo 2025

MAJINA YA walioitwa KWENYE USAILI Utumishi Leo 2025, Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi na Ajira Portal 2025, Walioitwa kwenye Usaili Utumishi, majina walioitwa usaili ajira portal. Karibu katika ukrasa huu wenye PDF za majina ya walioitwa kwenye usaili Utumishi leo, wiki hii na mezi huu. Hapa utaweza kupata updates za majina kila siku waliotwa kwenye interview Utumishi au Names

Continue reading

PDF: MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali Utumishi July 2025

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Iringa (IRUWASA), Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Wizara ya Afya, Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA),, MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19-07-2025 hadi 26-08-2025

Continue reading

MABADILIKO ya Eneo la Usaili Kada ya Mpiga Chapa Msaidizi Daraja II

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, anawajulisha waombaji kazi wa kada ya MPIGA CHAPA MSAIDIZI DARAJA II (ASSISTANT PRINTER II) kuwa kuna mabadiliko ya sehemu ya kufanyia usaili wa vitendo. Usaili utafanyika Ofisi ya Mpiga chapa Mkuu wa Serikali (Idara ya kupiga chapa ya Serikali) -DAR ES SALAAM karibu na Ofisi za Wakala wa Huduma ya Ununuzi

Continue reading

PDF: MAJINA Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimabali UTUMISHI July 2025

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02-09-2024 na tarehe 28-06-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi

Continue reading

Orodha ya Maswali ya Interview Afisa Utumishi

Orodha ya Maswali ya Interview Afisa Utumishi, Je, umewahi kujishauri ni maswali gani yanayoulizwa wakati wa mahojiano ya nafasi ya afisa utumishi? Katika ulimwengu wa leo wenye ushindani mkubwa wa ajira, kujiandaa vizuri kwa ajili ya mahojiano ni muhimu sana. Hasa kwa nafasi ya afisa utumishi, ambayo inahitaji ujuzi mbalimbali na ufahamu wa kina wa masuala ya wafanyakazi. Hebu tuchunguze

Continue reading

Fomu Ya Kujiunga Na Chuo Cha Usafirishaji NIT

Unataka kujiunga na Chuo cha Usafirishaji NIT? Jifunze hatua kwa hatua jinsi ya kupata na kujaza fomu ya kujiunga kwa usahihi. Chuo Cha Usafirishaji NIT Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) ni taasisi ya serikali iliyopo Dar es Salaam inayotoa mafunzo ya usafirishaji, uchukuzi, logistics, usafiri wa anga, na fani nyingine zinazohusiana na usafirishaji. NIT ni mojawapo ya vyuo vinavyotambulika

Continue reading

Maswali Ya Interview Watendaji wa Vijiji na Mitaa

Kujiandaa kwa vizuri kwa maswali ya “Maswali Ya Interview Watendaji wa Vijiji na Mitaa” ni hatua muhimu kwa mafanikio ya mahojiano. Mtendaji wa Kijiji au Mtaa anahitajika kuwa na ujuzi wa uongozi, utawala bora, utatuzi wa migogoro, na mahusiano mema na jamii. Maswali ya Utangulizi (Introductory Questions) Tuambie kuhusu wewe na uzoefu wako nyumbani au kijiji/mtaa. Kwa nini umeteua kuomba

Continue reading

Orodha ya Maswali ya Interview ya Kazi ya Uhasibu

Orodha ya Maswali ya Interview ya Kazi ya Uhasibu, Katika ulimwengu wa leo wa ushindani wa kibiashara, kuwa tayari kwa ajili ya mahojiano ya kazi ni muhimu sana, hasa katika sekta ya uhasibu. Makampuni yanatafuta wataalam wenye ujuzi na uwezo wa kushughulikia changamoto za kifedha. Ili kukusaidia kujiandaa, tumekusanya orodha ya maswali ya kawaida yanayoulizwa katika mahojiano ya uhasibu. Maswali

Continue reading
error: Content is protected !!