TAARIFA Kwa Walioitwa kwenye Usaili wa Tarehe 28-29 Julai, 2025
Wasailiwa wote mlioitwa kwenye usaili utakaofanyika kwa njia ya mtandao (ONLINE) tarehe 28 – 29 Julai 2025, mnatakiwa kuhuisha (update) taarifa katika akaunti zenu za ajira portal, kwa kuainisha mahali ulipo kwa sasa ili upangiwe kituo cha usaili karibu na eneo lako. Ili kuhuisha taarifa zako – nenda kwenye eneo la PERSONAL DETAILS, kisha rekebisha eneo la CURRENT RESIDENT REGION
Continue reading