Kuitwa Kwenye Usaili Majina ya Nyongeza Wizara ya Afya na MDAs & LGAs
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara ya Afya, MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19-07-2025 hadi 22-07-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- 1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo
Continue reading