Post Archive by Month: June,2025

NAFASI Za Kazi Betika Tanzania June 2025

Betika Tanzania ni moja kati ya kampuni zinazojulikana za michezo ya kamari na bahati nasibu nchini Tanzania. Kampuni hii inatoa huduma mbalimbali kama vile vibingwa, michezo ya kucheza na timu za mpira wa miguu, na bahati nasibu kwa njia ya mtandao. Betika imekuwa na umaarufu mkubwa kwa kutoa fursa kwa wapenzi wa michezo ya kamari kushiriki na kufurahia michezo kwa

Continue reading

MATOKEO Ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 04/06/2025

MATANGAZO YA  AJIRA MPYA UTUMISHI,AJIRA PORTAL NA KAMPUNI BONYEZA HAPA Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho. MATOKEO Ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 04/06/2025 Ili kuweza kutazama majina bonyeza kwenye kada husika uliyofanyia usaili hapo chini; ARTISAN II (Electrical Engineering) DIT ARTISAN II

Continue reading

Nafasi za kazi SJUT June 2025

MATANGAZO YA  AJIRA MPYA UTUMISHI,AJIRA PORTAL NA KAMPUNI BONYEZA HAPA St. John’s University of Tanzania (SJUT) ni chuo kikuu cha Kikristo kilichopo mjini Dodoma, Tanzania. Chuo hiki kimeanzishwa na Kanisa la Anglikana na kinatoa mafunzo ya hali ya juu kwa wanafunzi kutoka Tanzania na nchi jirani. SJUT ina mtaala wa kisasa unaolenga kukuza ujuzi wa kitaaluma, maadili ya Kikristo, na

Continue reading

MAGAZETI ya Leo Alhamisi Juni 05, 2025

MATANGAZO YA  AJIRA MPYA UTUMISHI,AJIRA PORTAL NA KAMPUNI BONYEZA HAPA Habari ya siku ya leo mwanakisiwa24 karibu tena katika kurasa huu ya magazeti ya leo Alhamisi ya tarehe 05 Juni 2025, ambapo utapata wasaha wa kuweza kusoma kurasa za mbele za magazeti ya Tanzania. Kurasa hii utakupa fursa ya kuweza kutizama vichwa vya habari zilizoweza kupewa uziti katika kurasa za

Continue reading

PDF: MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri Mbalimbali Leo UTUMISHI

Sekretarieti ya Ajira Tanzania ni chombo chini ya Wizara ya Kazi kinachoshughulikia na kuweka mipango ya masuala yanayohusiana na ajira nchini. Sekretarieti hii ina jukumu kuu la kuunda na kutekeleza sera za ajira, kusimamia mifumo ya habari ya ajira, na kukuza uwekezaji katika ujuzi wa wafanyikazi ili kuongeza fursa za ajira zenye tija. Inafanya kazi kwa kushirikiana na sekta binafsi,

Continue reading

NAFASI Za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Handeni June 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025. Hivyo Watanzania wote wenye sifa wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kwa nafasi zifuatazo:- MWANDISHI MWENDESHA OFISI II – NAFASI 4 SIFA ZA

Continue reading

NAFASI Za Kazi Lake Victoria Fisheries Organization June 2025

Shirika la Uvuvi Ziwa Victoria (LVFO) ni shirika la kimataifa linaloshughulikia usimamizi wa uvuvi katika Ziwa Victoria, ziwa kubwa la Afrika. Lilianzishwa rasmi mwaka 1994 kupitia Mkataba wa Kisumu, na wanachama wake ni nchi tatu zinazoshiriki ziwa hilo: Kenya, Tanzania, na Uganda. Lengo kuu la LVFO ni kuendeleza usimamizi endelevu wa rasilimali za samaki na uvuvi katika Ziwa Victoria, kwa

Continue reading

MABADILIKO ya Ratiba Ya Usaili Kada Ya Transcriber II Sign Languages Interpreter 04 June 2025

Wasailiwa wote wa kada ya Transcriber II Sign Language Interpreter mnataarifa kuwa kutakuwa na usaili wa vitendo utakaofanyika tarehe 05 Juni,2025 na usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 06 Juni,2025. MABADILIKO ya Ratiba Ya Usaili Kada Ya Transcriber II Sign Languages Interpreter 04 June 2025 MABADILIKO YA RATIBA YA USAILI KADA YA TRANSCRIBER II SIGN LANGUAGES INTERPRETER

Continue reading

NAFASI Za Internship UNESCO Tanzania 2025

Tanzania ni mwanachama thabiti wa UNESCO tangu mwaka 1962, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kimataifa za kukuza amani kupitia elimu, sayansi, utamaduni na mawasiliano. Shirika la UNESCO Tanzania (Ofisi ya Kitaifa ya UNESCO nchini Tanzania) linafanya kazi kwa kushirikiana kikamilifu na Serikali ya Tanzania, taasisi za umma na za kiraia, na wadau mbalimbali ili kutekeleza malengo ya Maendeleo Endelevu.

Continue reading

NAFASI 331 za Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama June 2025

Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa lengo la kusimamia masuala ya ajira, nidhamu, na maendeleo ya watumishi wa mahakama. Tume hii ina jukumu la kuhakikisha kuwa mfumo wa utoaji haki unakuwa na watumishi wenye weledi, maadili na ufanisi unaohitajika ili kukuza haki na usawa mbele ya sheria.

Continue reading
error: Content is protected !!