Post Archive by Month: June,2025

NAFASI 1723 za Kazi ya Ualimu Zilizotangazwa Leo UTUMISHI

KWA NAFASI ZA KAZI  UTUMISHI BONYEZA HAPA Sekretarieti ya Ajira ni chombo muhimu cha serikali nchini Tanzania kinachoshughulikia usimamizi wa ajira katika Sekta ya Umma. Chombo hiki kina jukumu la kuweka mfumo thabiti wa kuandaa, kusambaza, kufuatilia, na kudhibiti nafasi za ajira zote za serikalini. Lengo lake kuu ni kuhakikisha kuwa michakato yote ya ajira inaendeshwa kwa ufanisi, uwazi, na

Continue reading

MFUMO wa Maombi ya Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama 2025

MFUMO wa Kutuma Maombi ya Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama,(Judicial Service Commission – Job Application portal) 2025. Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo huru kilichoundwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa lengo la kusimamia masuala ya ajira na maendeleo ya watumishi wa Mahakama. Tume hii ina jukumu la kuhakikisha kuwa ajira, mafunzo, kupandishwa

Continue reading

JINSI ya Kutuma Maombi ya Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama June 2025

BONYEZA HAPA KUPATA FORM YA MAOMBI JINSI ya Kutuma Maombi ya Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama June 2025, Mfumo wa kutuma maombi ya kazi tume ya utumishi wa Mahakama – Judicial Service Commission – Job Application Portal Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa lengo la kusimamia

Continue reading

MAMBO ya Muhimu Fomu ya Ajira Tume ya Utumishi wa Mahakama June 2025

Mambo ya kujaza kwenye fomu ya maombi ya Ajira tume ya utumishi wa Mahakama, Judicial Service Commission – Application Form 2025 Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo huru kilichoundwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa lengo la kusimamia masuala ya ajira na maendeleo ya watumishi wa Mahakama. Tume hii ina jukumu la kuhakikisha kuwa ajira,

Continue reading

NAFASI za Kazi Halmashauri Mbalimbali Ajira Portal June 2025

Ajira Portal ni tovuti rasmi ya Serikali ya Tanzania inayojishughulisha na utoaji wa huduma za ajira za umma. Mfumo huu wa kidijitali ulianzishwa kwa lengo kuu la kuboresha uwazi, ufanisi na uadilifu katika mchakato wa kuajiri watumishi wa umma. Kupitia portal hii, mashirika na taasisi mbalimbali za serikali (kama wizara, idara, halmashauri na mashirika yanayotekeleza miradi) huzitangaza nafasi zao za

Continue reading

NAFASI za Kazi Halmashauri ya Manispaa ya llemela June 2025

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya llemela amepokea kibali cha Ajira Mpya kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kupitia barua yenye Kumb.Na.FA. 97/228/01/A/25 ya tarehe 29 April, 2025. Hivyo anakaribisha maombi ya Kazi kwa Watanzania wote wenye Sifa za kujaza nafasi ifuatayo:- DEREVA DARAJA LA II – NAFASI SITA (06) MAJUKUMU

Continue reading

NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara June 2025

Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara imepata idhini ya utekelezaji wa Kibali cha Ajira Mpya chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha Tarehe 29 Aprili, 2025 kwa ajili ya kuajiri Mwandishi Mwendesha Ofisi II nafasi 2 na Dereva II nafasi 2 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Hivyo, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mtwara

Continue reading

NAFASI 10 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba June 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba amepata Kibali cha Ajira Mpya chenye kumb. Na. FA. 97/288/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili, 2025 chenye nafasi ya Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II (2) na Dereva Daraja la II (8) kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Hivyo Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Tandahimba

Continue reading
error: Content is protected !!