NAFASI za Kazi Newala District Council June 2025
Halmashauri ya Mji Newala Imepokea kibali cha Ajira chenye Kumb. Na. FA. 97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025, chenye nafasi ya Dereva Daraja la II (3), kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Newala anatangaza nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi
Continue reading