Post Archive by Month: June,2025

NAFASI 15 za Kazi Muheza District Council

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025. Hivyo Watanzania wote wenye sifa wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kwa nafasi zizlzizopo. NAFASI 15 za Kazi Muheza District Council Hapa chini

Continue reading

NAFASI za Kazi Coca Cola Kwanza Ltd

Coca Cola Kwanza Ltd ni kampuni ya utengenezaji na usambazaji wa vinywaji vilivyo na makao yake nchini Tanzania. Kampuni hii ni sehemu ya Coca-Cola Beverages Africa (CCBA), ambayo ni moja kati ya wachuuzi wakubwa wa bidhaa za Coca-Cola barani Afrika. Coca Cola Kwanza Ltd inaendeleza uzalishaji wa vinywaji mbalimbali kama Coca-Cola, Fanta, Sprite, na Maji ya Mto Safi, huku ikilenga

Continue reading

NAFASI za Kazi Amana Bank

Amana Bank ni benki ya kipekee nchini Tanzania inayojulikana kwa kufuata mfumo wa kibenki wa kikiislamu. Inatoa huduma mbalimbali za kifedha kwa wateja wake, ikiwa ni pamoja na akaunti za akiba, mikopo, na huduma za biashara, zote zikiendana na kanuni za Sharia. Benki hii inalenga kuwahudumia wateja wa aina mbalimbali, ikiwa ni pamoja na wafanyikazi, wafanyabiashara, na mashirika, kwa kutoa

Continue reading

NAFASI 15 za Kazi Dereva Daraja La II Arusha City Council

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Jiji la Arusha kuomba nafasi za kazi zilizotajwa hapo chini baada ya kupokea kibali chenye Kumb. Na. FA/97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili, 2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala. DEREVA DARAJA LA II

Continue reading

NAFASI 8 za Kazi Ikungi District Council

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi amepokea kibali cha Ajira mpya chenye Kumb Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili, 2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Hivyo anatangazia Watanzania wote wenye Sifa kutuma maombi kwa nafasi zilizopo. MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI ➢ Waombaji wote wawe Raia wa Tanzania wenye

Continue reading

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 19 June 2025

Habari ya wakati huu mwanakisiwa24 Blog. Karibu katika kurasa hii ya Magazeti ya leo Tanzania Juni 19, 2025, Hapa utaweza kupitia vichwa vya habari vya magazeti ya leo tanzania. Kurasa hii inakupa fursa ya kuweza kusom vichwa vya habari zilizoweza kupewa uzito katika kurasa za mbele za Magazeti ya leo Alhamisi 19 June 2025 MAGAZETI ya Leo Alhamisi 19 June

Continue reading
error: Content is protected !!