Ada na Kozi Zitolewazo na Chuo cha Afya KAM College
KAM College of Health Sciences ni miongoni mwa vyuo vinavyoibukia kwa kasi nchini Tanzania katika kutoa elimu bora ya afya. Kwa miaka kadhaa sasa, chuo hiki kimekuwa kikitoa mafunzo ya kitaalamu kwa wanafunzi wanaotaka kujikita kwenye sekta ya afya. Katika makala hii, tutakuletea orodha ya kozi zinazotolewa pamoja na gharama (ada) za masomo kwa kila programu, huku tukikupatia maelezo ya
Continue reading