Nafasi 3 za Kazi Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) May 2025
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ni shirika la kitaifa linalojishughulisha na kila kitu kinachohusiana na hali ya hewa, hali ya anga, na mabadiliko ya tabianchi nchini Tanzania. Chini ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi – Tawala na Mipango Mikoa na Serikali za Mitaa, majukumu yake makuu ni kuchunguza, kuchambua, na kutangaza taarifa sahihi za hali
Continue reading