Nafasi za Kazi Heifer International May 2025
Heifer International ni shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na kupambana na umaskini na njaa kwa kuwasaidia watu kupitia miradi ya kilimo endelevu na ufugaji. Shirika hili lilianzishwa mwaka 1944 na limekuwa likifanya kazi katika nchi mbalimbali duniani, likiwemo Tanzania. Kupitia utoaji wa mifugo kama vile ng’ombe, mbuzi, na kuku kwa familia zenye uhitaji, Heifer huwapa wanufaika fursa ya kujitegemea kiuchumi
Continue reading