Jinsi ya Kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) 2025
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ni chombo muhimu cha serikali ya Tanzania kinachoshirikisha vijana katika kujenga taifa kupwa mafunzo ya kijeshi, ujasiriamali, na maadili ya uzalendo. Ikiwa unataka kujiunga na JKT mwaka 2025, kuna taratibu na masharti unayopaswa kufuata. Hapa kwenye makala hii, tutakueleza kwa ufupi jinsi ya kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) 2025, masharti ya kujiunga, taratibu za
Continue reading