Vifurushi vya Tigo/Yas Internet Na Bei Zake 2025
Tigo ni moja kati ya kampuni za simu zinazotumika sana nchini Tanzania, ikitoa huduma mbalimbali za data, simu, na matangazo. Ikiwa unatafuta Vifurushi vya Tigo/Yas Internet na bei zake, basi umekuja mahali sahihi. Kwenye makala hii, tutakushughulikia vifurushi vyote vya Tigo/yas Internet, bei zake, na faida zake kwa wateja. Vifurushi vya Internet vya Tigo/Yas (Data Bundles) Tigo inatoa vifurushi mbalimbali vya
Continue reading