Post Archive by Month: December,2024

Ratiba ya Mechi za Leo Alhamisi 19/12/2024

Ratiba ya Mechi za Leo Alhamisi 19/12/2024, Habari ya wakati huu mwanamichezo wa Kisiwa24, karobu katika makala hii fupi ya kimichezo itakayokupa wasaha wa kutazama ratiba ya mechi za leo 19 December 2024 kutoka ligi mbalimbali duniani pote. Ratiba ya Mechi za Leo Alhamisi 19/12/2024 Je wewe ni mwanasoka na mpenzi wa mpira wa miguu, basi leo hapa tunakupa fursa

Continue reading

Yanga vs Mashuja Leo 19/12/2024

Yanga vs Mashuja Leo 19/12/2024, habari mwanamichezo wa Kisiwa24, karibu katika makala hii fupi itakayoenda kutoa uchambuzi mfupi wa mechi ya Yanga Dhidi ya Mashujaa kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania bara msimu wa 2024/2025 Yanga vs Mashuja Leo 19/12/2024 Mechi ya Yanga na Mashujaa ni mechi ya matumaini mapya kwa klabu ya Yanga ambayo imetoka kushiriki michuano ya klabu

Continue reading

CV ya Fahad Aziz Bayo Mchezaji Mpya wa Yanga Sc

CV ya Fahad Aziz Bayo Mchezaji Mpya wa Yanga Sc,Usajili wa Fahidi Bayo Yanga, Klabu ya Yanga iko mwinshoni kuweza kumsajili mshambuliaji wa taifa la Uganga Fahad Bayo kam mchezaji huru baada ya kumalizika kwa mkataba wake na timu aliyokua akiitumikia. CV ya Fahad Aziz Bayo Mchezaji Mpya wa Yanga Sc Fahad Bayo tayari amesha wasili nchini Tanzania kwa majilibio

Continue reading

Ratiba ya Mechi za Leo Jumatano 18/12/2024

Ratiba ya Mechi za Leo Jumatano 18/12/2024 Habari ya leo mwanamichezo wa kisiwa24 blog karibu katika makala hii ya kimichezo itakayoenda kukuangazia juu ya ratoba ya michezo ya leo kutoka pande mbalimbali za dunia ikiwemo ligi kuu ya NBC Tanzania bara. Leo Jumatano 18/12/2024 ligi mbalimbali duniani zinaendelea kutimua vumbi na hapa tutaenda kukuonyesha michezo yote itakayoenda kufanyika leo kwenye

Continue reading

Kikosi cha Simba VS KenGold Leo 18/12/2024

Kikosi cha Simba VS KenGold Leo 18/12/2024 Habari mwana Simba SC hapa tutaenda kukuonyesha kikosi kitakachoenda kucheza KenGold katika mechi ya leo 18/12/2024 kwenye mchezo wa ligi kuu ya NBC. Simba inarudi kwenye ligi kuu baada ya kusimama kwa muda kidogo ili kushiriki kwenye michuano ya kombe la shirikisho Barani Afrika. Leo Simba inaikaribisha klabu ya KenGold na hapa tutaenda

Continue reading

Fomu za kujiunga na Kidato cha kwanza 2025 (Form One Joining Instruction)

Fomu za kujiunga na Kidato cha kwanza 2025, Form One Joining Instruction 2025 PDF, Fomu za kujiunga kidato cha kwanza 2025 pdf Huu ni waraka muhimu unaoeleza mahitaji na taratibu za wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na shule ya sekondari mwaka wa 2025. Waraka huu kwa kawaida hutolewa na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (PO-TAMISEMI) nchini Tanzania

Continue reading

Orodha ya Shule Walizopangiwa Darasa la Saba 2024/2025 (Form One Selections 2025)

Matokeo na Shule walizopangiwa Darasa la Saba 2025, Form one selection 2024/2025, majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2024/2025, matokeo ya darasa la saba 2024/2025, shule walizopangiwa darasa la saba 2024./2025. Je wewe ni mzazi wa mwanafunzi aliyehitimu darasa la saba na unataka kujua ni shule ngani amechaguliwa ili kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka wa

Continue reading
error: Content is protected !!