Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Usaili»Majina Wailioitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali December 2024
    Usaili

    Majina Wailioitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali December 2024

    Kisiwa24By Kisiwa24December 1, 2024No Comments3 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Majina Wailioitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali December 2024

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI),, Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 03-12-2024 hadi 10-12-2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

    Mambo Muhimu ya Kuzingatiwa na Wasiliwa

    Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili ni muhimu sana kuzingatia mambo yafuatayo ili kuweza kujihakikishia ya kua unafanya usaili kama ulivyopangwa na kujhakikishia nafasi yako ya kupata kazi;

    1. Siku ya Kufanyika kwa Usaili

    • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.

    2.Uvaaji wa Barkoa Kwa Wasaili

    • kila msailiwa anaitarajia kuudhulia usaili anatakiwa kufika eneo la usaili akiwa amevaa barakoa kama njia ya kujikinga na magonjwa ambukiziKila (Mask)

    3. Ubebaji wa Kitambulisho

    Kila msailiwa atakayefika kituo cha usaili ni lazima awe na kitambulisho kinacho tambulika kwa ajili ya utambuzi wa msailiwa, kama vile Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva au barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka.

    5.Vyeti

    Wasailiwa wote pindi wanapofkwenda katika kituo cha usaili ni lazima wabebe vyeti vyao halisi kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI, Astashahada, Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji. Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.

    7.Gharama Wakati wa Usaili

    • Gharama zote zitakazokuwepo wakati wa usaili basi msailiwa tajitegemea kwa gharama hizo kama vile Chakula, Usafiri na Malazi.

    8 .Waombaji Waliosoma Nje ya Tanzania

    • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)

    9. Waombaji Wasio Ona Majina yao Katika Tangazo Hili

    • Kwa waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.

    11. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.

    12. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili.

    8. Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.

    Majina Wailioitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali December 2024

    Bonyeza Hapa Kutazama MAJINA Yote

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleNafasi Za Kazi Bodi Ya Taifa Ya Wahasibu Na Wakaguzi Wa Hesabu (Nbaa) December 2024
    Next Article Habari Za Kwenye Magazeti ya Tanzania Leo Jumanne 03 December 2024
    Kisiwa24

    Related Posts

    Ajira

    MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

    December 6, 2025
    Ajira

    Majina ya Usaili kusimamia Uchaguzi NEC 2025 – Jimbo la Moshi Vijijini

    October 8, 2025
    Ajira

    MATOKEO Ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 07-08/10/2025

    October 8, 2025
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202550 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202530 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202529 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202550 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202530 Views

    Jinsi ya kuangalia Namba ya leseni ya udereva

    March 9, 202529 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.