Close Menu
Kisiwa24

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026
    Kisiwa24Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Michezo
    • Makala
    • Elimu
    Kisiwa24
    Home»Makala»Fahama Jinsi Ya Kutumia Kadi Ya Mwendokasi
    Makala

    Fahama Jinsi Ya Kutumia Kadi Ya Mwendokasi

    Kisiwa24By Kisiwa24November 2, 2024No Comments4 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Jinsi Ya Kutumia Kadi Ya Mwendokasi, Habari mwana Dar es Salaam, karibu katika makala hii ambayo itaenda kukupa maelekezo ya kuhusu kadi ya malipo ya usafiri wa mwendokasi. Wakala Wa Mabasi Yaendayo Haraka Mkoa Wa Dar es Salaam (DART) imeanzisha kadijanja itakayotumika kufanya malipo ya usafiri wa mbasi ya mwendokasi ikiwa na lengo la kurahisisha huduma za kiusafiri ndani ya DART.

    Fahamu Kuhusu Wakala Wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART)

    Wakala Wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) ni taasisi ya serikali iliyoundwa kwa mujibu wa Tangazo la serikali No. 120 la tarehe 25 Mei 2007 chini ya sheria No. 30 ya Wakala za Serikali ya mwaka 1997 na marekebisho yake. Jukumu kuu la DART ni kuanzisha na kuendesha mfumo wa Usafiri wa Mabasi Yaendayo katika mkoa wa Dar es Salaam.

    Jinsi ya Kupata Kadi ya Mwendokasi

    Kama wewe ni mtumiaji wa usafiriwa mabasi ya mwendokasi ili kupata kadi hii ya mwendokasi itakupasa uweze kutembelea vituo vya mwendokasi vilivyopo jijini Dar es Salaam na kulipia kiasi cha Tsh 500.

    Kadi Ya Mwendokasi
    Kadi Ya Mwendokasi

    Kiwango Cha Kuweka Fedha Kwenye Kadi ya Mwendokasi

    Dadi hii huwekwa fedha ambayo ndio hutumika katika kufanya malipo ya nauli zako pindi unapotaka kutumia usafiri wa mwendokasi. Hapa tunakuwekea kiwango cha chini na cha juu cha kuweka pesa katika kadi yako ya mwendo kasi.

    • Kiwango Cha chini Cha kuweka Pesa ni Tsh 1,000
    • Kiwango cha juu cha kuweka pesa ni Tsh. 90,000

    Hivyo kumbe unapotaka kuweka pesa lazima iwe kunzia shilingi elfu 1 na unaweza kuweka hadi shilingi elfu tisini za kitanzania.

    – Unapoitaji kuongeza salio katika kadin yako unaweza kufanya hivyo kupitia simu yako kwa mitandao ya simu kama vile

    • Tigo – Bonyeza
    • Airtel – Bonyeza
    • Vodacom – Bonyeza
    • Halotel – Bonyeza

    Lakini pia unaweza kuweka pesa katika kadi yako ya mwendo kasi kwa njia zifuatazo

    • Benki
    • Wendokasi App
    • Kwa kutembelea vituo vya Mwendokasi

    Jinsi ya Kutumia kadi ya Meondokasi

    Hapa chini tunaenda kuangazia sasa jinsi ya kuweza kutumia kadi ya usafiri wa mabasi yaendayo kasi katika jiji la Dar es Salaam (Mabasi ya Mwendokasi).Ili kuweza kutumia kadi hii tafadhari fuata hatua zifuatazo;

    • Ukifika kituoni chukua kadi yako na weka kwenye geti la kufanyia malipo kwa njia ya kadi hadi utakapoona mshale wa rangi ya kijani utakaoruhusu kuendelea, baada ya mshaele huo kuonekana hapo utakua tayari umefanya malipo na kuendelea na safri yako na salio la nauli litakuwa limekatwa moja kwa moja kutoka kwenye kadi yako ya mwendokasi.

    Mambo ya muhimu kuhusu Kadi ya Mwendokasi

    • Kadi ya mwendokasi haitumiki kufanya malipo ya ainayoyote ile zaidi ya malipo ya safari za mwendokasi.
    • Mara baada ya kuweka kadi kwenye geti la kufanya malipo la mwendokasi na kuthibitishwa basi salio litakatwa kwenye kadi hapo hapo.
    • Hata pale Kadi ya Mwendokasi inapotumika pasipo uwepo wa mtandao, salio lililopo katika Kadi litatolewa pasipo kuchelewa sehemu itakapokuwepo kadi hiyo.

    Mambo ya Kuzingatia Uwapo Ndani ya Kituo Cha Mwendokasi

    • Pindi uwapo katika Kituo cha Mabasi Yaendayo Haraka, subiri basi lisimame katika jukwaa la kupandia.
    • Hkikisha unapo panda basi unaingia ndani kabisa na sio kukaa mlangoni
    • Kama wewe si abiria mwenye mahitaji maalumu tafadhari usikae kwenye viti vya watu wa mahitaji maalumu kama vile walemavu, wajawazito na wazee.
    • Ondoa wazo la kugombania mabasi kwani yako mengi sana

    Jinsi Ya Kurudisha Kadi ya Mwendokasi Iliyopotea Au Kuharibika

    Kama umepatwa na changamoto ya kuharibu kadi yako ya mwendokasi au kupoteza basi usijiali fanya yafuatayo ili kuirudisha,

    • Tembela kituo cha mabasi ya mwendokasi ukiwa na Taarifa zote zilizotumika kusajiria kadi iliyopotea au kuharibika
    • Lipia kiasi cha Tsh. 500 ili kuomba kurudishwa kwa kadi
    • Baada ya kukamirisha taratibu za kurudisha kadi subili siku 7 za kazi kiasi kilichokuwepo kwenye kadi ya awali kuhamishiwa kwenye kadi mpya
    • Sasa unaweza kutumia kadi yako mpya ikiwa na taarifa zako zote za kadi iliyo pita.

    Hitimisho

    Wakala ya Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imethibitisha kua maendeleo ya teknolojia yanayokua kwa kasi yanaweza kua na manufaa ya kutosha hata katika sekta ya usafiri kwani huduma hii ya kutumia kadi ya malipo ya usafiri wa mwendokasi yamekua na umuhimu mkubwa sana kama vile kuokoa muda, kuto kutembea na pesa.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleKikosi Cha Yanga Msimu Wa 2024-2025
    Next Article Jinsi ya Kuweka Pesa Kwenye Kadi ya Mwendokasi Kwa HaloPesa
    Kisiwa24

    Related Posts

    Makala

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026
    Makala

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 2025
    Makala

    Jinsi ya kupika Pilau kwenye Rice Cooker

    October 9, 2025
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202558 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202532 Views

    Jinsi Ya Kupata Prem Number Kwa Urahisi Tanzania

    July 15, 202532 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Most Popular

    Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya Sheli

    July 2, 202558 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

    December 21, 202532 Views

    Jinsi Ya Kupata Prem Number Kwa Urahisi Tanzania

    July 15, 202532 Views
    Our Picks

    Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

    January 4, 2026

    RATIBA Mpya ya Treni Za SGR Dar, Morogoro hadi Dodoma 2026

    January 4, 2026

    NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

    January 3, 2026

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2026 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.