MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA
YUSUPH KAGOMA RASMI KUITUMIKIA SIMBA SC
Kwataarifa za hadi sasa ni kuwa Management ya Kiungo mkabaji Yusuph Kagoma imekamilisha malipo ya kiasi cha TSH 45 Million leo kwenye ya Account ya Yanga SC NMB.
Kila la kheri Yusuph Kagoma.