TAMISEMI: FORM FIVE SELECTION 2025/2026

_________________________________________________

MATANGAZO YA AJIRA  KILA SIKU BOFYA HAPA

_________________________________________________

NOTES ZA KIDATO CHA 1 HADI 6 BOFYA HAPA

_________________________________________________

MAGROUP MAPYA YA WHATSAAP BOFYA HAPA

_________________________________________________
MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha Afya Na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) February 2025

Filed in Nafasi Za Kazi Tanzania 2025 by on February 14, 2025 0 Comments

Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha Afya Na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) February 2025

Makamu Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) anapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 18 Oktoba, 2024 hadi tarehe 19 Oktoba, 2024 kuwa majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Aidha, ajira zao zitakuwa rasmi pale vyeti vyao vitakapohakikiwa na kuthibitishwa na mamlaka husika. Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kwa kufika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) tarehe 27, 28, na 29 Januari, 2025 kuanzia saa tatu kamili asubuhi wakiwa na nyaraka zilizoainishwa katika tangazo hili ili zihakikiwe kabla ya kupewa barua ya ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa. Nyaraka za kuwasilisha ni kama ifuatavyo:

(i) Vyeti halisi (Original Certificates) na nakala mbili za vyeti hivyo zilizothibitishwa na Mamlaka za kisheria (certified by Advocate/Magistrate) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea;

(ii) Cheti cha kuzaliwa;

(iii) Nakala ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA); na

(iv) Picha ndogo tatu za rangi (three colored passport size photographs)

KADA: TUTORIAL ASSISTANT (OPTHALMOLOGY) 5 YRS

MWAJIRI: MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (MUHAS)

Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha Afya Na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) February 2025

 

Bonyeza HAPA kupakua Majina Yote

Mapendekezo ya Mhariri;

1. Operations Coordinator at Educate! February 2025

2. Superintendent 2 – Open Pit Planning at AngloGold Ashanti Mine February 2025

3. Security Officer (Retail) at OCS February 2025

4. Territory Manager at Kyosk.app February 2025

Kwa Matangazo ya AJIRA Mpya kila siku BONYEZA HAPA

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!