Orodha ya Wafungaji Bora Ligi Kuu Uingereza EPL 2024/2025, vinara wa magoli ligi kuu ya uingereza EPL msimu wa 2024/2025, Habri ya wakati huu mwanamichezo wa Kisiwa24 karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukuonyesha juu ya orodha ya wafungaji bora wa ligi kuu ya Uingereza EPL 2024/2025.
ligi kuu ya EPL imesha anza kutimua vumbi na miongoni mwa wachezaji tayri wamesha anza kuonyesha uwezo wao wa ufungaji wa magoli ili kuwania kiautu cha ufungaji bora. Hapa kwenye makala hii tumekuwekea orodha ya wafungaji bora wa EPL 2024/2025.
Orodha ya Wafungaji Bora Ligi Kuu Uingereza EPL 2024/2025
Orodha hii inabadilika kila mechi zinavyokua zikichezwa hivyo basi hata sisi tutakua tukitoa update mpya kila wakati ili kuenda na mwenendo wa ligi kuu ya Uingereza, wachezaji wa timu mbali mbali wanaingia kwenye orodha hii.
1. Erling Haaland – Man City – 9
2. .Mohamed Salah – Liverpool – 3
2. Luis Díaz – Liverpool – 3
2. Yoane Wissa – Brentford – 3
2. Jhon Durán – Aston Villa – 3
2. Noni Madueke – Chelsea – 3
2. Bryan Mbeumo – Brentford – 3
8. Kai Havertz – Arsenal – 2
8. Ollie Watkins – Aston Villa – 2
8. Nicolas Jackson – Chelsea – 2
8. Dominic Calvert-Lewin – Everton – 2
8. Danny Welbeck – Brighton – 2
8. Antoine Semenyo – Bournemouth – 2
8. João Pedro – Brighton – 2
8. Son Heung-Min – Tottenham – 2
8. Amadou Onana – Aston Villa – 2
8. Jean-Philippe Mateta – Crystal Palace – 2
8. Chris Wood – Nottm Forest – 2
8. Jamie Vardy – Leicester – 2
20. Cole Palmer – Chelsea – 1
20. Bukayo Saka – Arsenal – 1
20. Dwight McNeil – Everton – 1
20. Simon Adingra – Brighton – 1
20. Harvey Barnes – Newcastle – 1
20. Luis Sinisterra – Bournemouth – 1
20. Alejandro Garnacho – Man Utd – 1
20. Facundo Buonanotte – Leicester – 1
20. Amad Diallo – Man Utd – 1
20. Alexander Isak – Newcastle – 1
20. Emile Smith Rowe – Fulham – 1
20. Diogo Jota – Liverpool – 1
20. Adama Traoré – Fulham – 1
20. Jarrod Bowen – West Ham 1
20. Kaoru Mitoma Brighton – 1
20. Kevin De Bruyne – Man City – 1
20. Danny Ings – West Ham – 1
20. Christopher Nkunku – Chelsea – 1
20. João Félix – Chelsea – 1
20. Leandro Trossard – Arsenal – 1
20. Raúl Jiménez – Fulham – 1
20. Stephy Mavididi – Leicester – 1
20. Yves Bissouma – Tottenham – 1
20. Matthijs de Ligt – Man Utd – 1
Msimu umekua wa ushindani wa hali ya juu huku aliyeibuka kidedea katika msimu uliopita wa 2023/2024 anajaribu kutetea taji lake kwa kuendelea kupambana na kuongoja orodha ya wafungaji bora wa msimu huu mpya wa 2024/2025
Wafungaji Bora EPL Ligi Kuu Uingereza 2023/24
- Erling Haaland, Manchester City — Magoli 27
- Cole Palmer, Chelsea — Magoli 22
- Alexander Isak, Newcastle United — Magoli 20
- Ollie Watkins, Aston Villa — Magoli 19
- Dominic Solanke, Bournemouth — Magoli 19
- Mohamed Salah, Liverpool — Magoli 18
- Heung-min Son, Tottenham — Magoli 17
- Phil Foden, Manchester City — Magoli 17
- Jarrod Bowen, West Ham United — Magoli 16
- Bukayo Saka, Arsenal — Magoli 16
Mapendekezo ya Mhariri: