Wafungaji Bora Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025, Wafungaji Bora CAF Confederation Cup 2024/2025, CAF Confederations Cup Standing 2024/2025,CAF Confederation Cup Top Scores 2024/2025. Vinara wa magoli kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025, Habari mwanamichezo wa Kisiwa24 Blog Karibu katika makala yako pendwa ya kimichezo ambayo kwa tathmini ya kina itaenda kuangazia juu ya orodha ya wafungaji bora CAF Confederation Cup Msimu wa 2024/2025.
Kama wewe ni shabiki na mfuatiliaji wa michuano hii ya kombe la shirikisho barani Afika basi utakua huna budi kuweza kufahamu ni wachezaji gani wanapigania kinyang’anyiro cha ufungaji bora ndani ya mashindano haya.Hadi sasa tari hatua ya makundi imesha kamilika na michuano hii inaelekea kwenyr hatua ya Robo fainali huku tukishuhudia klabu pekee inayoshiliki michuano hii kutokea Tanzania Simba SC ikifuzu hatua ya robo fainali kwa kuongoza kundi A.
Timu zilzioweza Kusinga Mbele Hatua ya Robo Fainali.
- CS Constantine
- Simba
- RSB Berkane
- Stellenbosch
- USM Alger
- ASEC
- Zamalek
- Al Masry
Wafungaji Bora Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
Hapa chini ni orodha ya vinara wa magoli katika michuano ya kombe la shirikisho Afrika 2024/2025 (CAF Confederation Cup Top Scores 2024/2025)
# | Jina la Mchezaji | Timu Anaoyochezea | Idadi ya Magoli |
---|---|---|---|
1. | I. Belkacemi | 4 | |
2. | A. de Jong | Stellenbosch | 4 |
3. | I. Dayo | Renaissance Berkane | 4 |
4. | Zizo | Zamalek SC | 3 |
5. | B. Dib | CS Constantine | 3 |
6. | Francisco Matoco | Onze Bravos | 3 |
7. | Zakaria Benchaâ | CS Constantine | 3 |
8. | K. Denis | Simba | 3 |
9. | L. Mojela | Stellenbosch | 3 |
10. | Joaquim Cristóvão Paciência | Onze Bravos | 3 |
11. | J. Atule | Enyimba | 2 |
12. | D. Titus | Stellenbosch | 2 |
13. | H. Haj Hassen | CS Sfaxien | 2 |
14. | M. Dhaoui | CS Sfaxien | 2 |
15. | Hossam Ashraf | Zamalek SC | 2 |
16. | I. Ihemekwele | Enyimba | 2 |
17. | A. Khairi | Renaissance Berkane | 2 |
18. | P. Dione | Jaraaf | 2 |
19. | Y. Zghoudi | Renaissance Berkane | 2 |
20. | Salah Mohsen | AL Masry | 2 |
Hitimisho
Kama yalivyokua mashindano mengine ya mpira wa miguu ligi ya kombe la shirikisho barani Afrika kwa msimu huu mpya wa 2024/2025, umekua wa kusisimua zaidi huku wachezaji wakiendelea kupambana kutafuta ufungaji bora. Kutoka Tanzania kwenye klabu ya Simba mchezaji machachali Kibu Denis naye anazidi kupambana kuhakikisha anaingia kwenye nafasi ya juu zaidi katika orodha ya vinara wa magoli kwa msimu huu. Hatu aya makundi imesha pita na sasa tunasubulia kuanza kwa hatua ya robo fainali ili tuone mabadiliko ya orodha hii ya wafungaji bora kwenye ligi ya kombe la shirikisho barani Afrika 2025.