Wafungaji Bora CAF Champions League 2024/2025, Msimamo wa wafungaji bora ligi ya mabingwa Afrika 2024/2025, Vinara wa magoli ligi ya mabingwa Afrika 2024/2025, Orodha ya wafungaji wa muda wote CAF Champions League 2024/2025. Habari ya wakati huu mwanamichezo wa Kisiwa24 Blog karibu katika kurasa hii fupi ya kimichezo ambayo itaenda kukuonyesha orodha ya wafungaji bora kwenye ligi ya mabingwa ulaya (CAF Champions League top scores 2024/2025)
Ligi ya mabingwa aFRIKA kwa msimu wa 2024/2025 tayari umesha anza na mabadiliko mendi hasa ya kimfumo yametendeka ukilinganisha na misimu iliyopita. Wachezaji tayari wamesha anza kuonyesha uwezo wao wa ufungaji magoli na tayari orodha imesha anza kujitengeneza.
Ushindani umekua mkubwa zaidi kwa baadhi ya wachezaji kwenye kinyang’anyilo cha ufungaji bora huku ikiobeza msisimuko wa ligi.
Msimamo wa wafungaji bora ligi ya mabingwa Afrika 2024/2025
Na. | Mchezaji | Magoli |
---|---|---|
1. | Y. Belaïli ( ES Tunis ) | 7 |
2. | Mohamed Abdelrahman (Al Hilal Omdurman) | 4 |
3. | W. Abou Ali (Al Ahly) | 4 |
4. | Ibrahim Adel (Pyramids FC) | 4 |
5. | F. Mayele (Pyramids FC) | 4 |
6. | Emam Ashour (Al Ahly) | 4 |
7. | R. Mofokeng (Orlando Pirates) | 3 |
8. | E. Mokwana (ES Tunis) | 3 |
9. | J. Girumugisha ( Al Hilal Omdurman) | 3 |
10. | P. Tau (Al Ahly) | 3 |
11. | I. Rayners (Mamelodi Sundowns) | 3 |
12. | M. Nkota (Orlando Pirates) | 2 |
13. | M. Hrimat (FAR Rabat) | 2 |
14. | P. Maswanganyi (Orlando Pirates) | 2 |
15. | Mohanad Lasheen (Pyramids FC) | 2 |
16. | Kahraba (Al Ahly) | 2 |
17. | D. Hotto (Orlando Pirates) | 2 |
18. | N. Zerhouni (Raja Casablanca) | 2 |
19. | M. Boulacsout (Raja Casablanca) | 2 |
20. | S. Bayazid (MC Alger) | 2 |
Hatua ya makundi imesha kamilika na timu 16 tayari zimesha fuzu kuingia hatua ya robo fainali.
Timu zilizofuzu hatua ya Robo Fainali Klabu bingwa Afrika 2024/2025
Nafasi | Timu | Nchi |
---|---|---|
1 | Al Hilal Omdurman | Sudan |
2 | ASFAR | Morocco |
3 | Pyramids FC | Misri |
4 | Orlando Pirates | Afrika Kusini |
5 | Al Ahly | Misri |
6 | MC Alger | Algeria |
7 | Raja Club Athletic | Morocco |
8 | Espérance Sportive de Tunis | Tunisia |
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Ratiba Ya Ligi Ya Mabingwa Ulaya 2024/2025
2. Msimamo wa Ligi Kuu Uingereza EPL 2024/2025
3. Msimamo Ligi ya Mabingwa Ulaya 2024/2025
4. Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali
5. Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2025