Wachezaji Wanaolipwa Pesa Nyingi Simba SC 2024/2025, Mishahara Ya Wachezaji Wa Simba 2024/2025. Habari mwana Simba SC na shabiki wa mpira wa miguu, karibu kwenye makala hii fupi itakayokupa mwongozo wa makadirio ya mishahara wanayoweza kua wanalipwa wachezaji wa klabu ya Simba SC kwa msimu huu wa 2024/2025.
Kuhusu Simba SC
Klabu ya Simba ali maarufu kama wekundu wa msimbazi ni moja ya klabu kubwa Tanzania na hata barani Afrika kutokana na ushindani wake katika michuano mbalimbali. Kwenye msimamo wa virabu bora Afrika klabu ya Simba kwa mujibu wa CAF inashika nafasi ya 7
Klabu ya Simba hutumia picha ya mnyama Simba katika nembo yake kama utambulisho wake

Simba imekua moja ya klabu zenye kulipa mishahara mikubwa zaidi kwa wachezaji wake kitu ambacho kimeperekea wachezaji wengi kutoka mataifa tofauti tofauti barani Afrika kutamani kujiunga na klabu hiyo.
MAkala hii kama tulivyokwisha kusema tutaenda kuangazia kwa wastani kiasi wanacholipwa baadhi ya wachezaji wa klabu ya Simba kutokana na taarifa zinazokuwa zikipatikana wakati wa usajili wa mchezaji husika.
Mishahara Ya Wachezaji Wa Simba 2024/2025
Jedwali la hapa chini linaonyesha makadilio ya mishahara ya baadhi ya wachezaji wanaoitumikia klabu ya Yanga kwa msimu wa 2024/2025.
Jina la Mchezaji | Taifa Lake | Mshahara (TZS) |
---|---|---|
Aishi Salum Manula | Tanzania | 14 Milioni |
Peter Banda | Malawi | 6 Milioni |
Nasolo Kapama | Tanzania | 2.5 Milioni |
Moses Phiri | Zambia | 15 Milioni |
Luis Miqussion | Tanzania | 8.1 Milioni |
Fondoh Che Malone | Cameroon | 9 Milioni |
Aubian Kramo | Cote d’Ivoire | 9 Milioni |
Mohamed Hussein | Tanzania | 10 Milioni |
Shomari Kapombe | Tanzania | 10 Milioni |
Hamisi Kazi | Tanzania | 2.2 Milioni |
Sadio Kanouté | Mali | 16 Milioni |
Mzamiru Yassin | Tanzania | 7 Milioni |
Devid Kameta | Tanzania | 2 Milioni |
Husein Abel | Tanzania | 2 Milioni |
Ally Salim Juma | Tanzania | 1.8 Milioni |
Fabrice Ngoma | DR Congo | 7 Milioni |
Henoc Inonga Baka | DR Congo | 11 Milioni |
Kennedy Juma | Tanzania | 3 Milioni |
Saido Ntibanzokiza | Burundi | 6.2 Milioni |
Israel Patrick Mwenda | Tanzania | 2 Milioni |
Denis Kibu | Tanzania | 3.7 Milioni |
Jimson Stephen Mwanuke | Tanzania | 1,000,000 |
Willy Onana | Cameroon | 6 Milioni |
Hussein Hasan | Tanzania | Mshahara haujafahamika |
Auyoub Lakrey | Morocco | Mshahara haujafahamika |
Hussein Abel | Tanzania | 2.1 Milioni |
Sababu za Mishahara yao Kuwa Juu
Kunasababu kadhaa zinazoweza kusababisha mishahara ya wachezaji wa Simba SC kuweza kutofautiana kutoka mchezaji moja hadi mwingine. Hapa chini ni miongoni mwa baadhi ya sababu hizo tu.
1. Uzoefu wa Kimataifa
2. Umahiri wa Kipekee
3. Ushindani wa Soko
4. Mchango kwa Timu
5. Umaarufu kwa Mashabiki
Hata hivyo klaba ya Simba imezidi kua tishio katika michuano mbalimbali ndani na nje ya Tanzania. Kwa msimu huu wa 2024/2025 klabu ya Simba ndio klabu pekee inayoshiriki michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika na sasa iko kwenye hatua ya makundi na imepangwa katika kundi A.