Viwango Vipya Vya Mishahara ya Walimu Serikalini
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Viwango vipya vya mishahara ya walimu serikalini, viwango vya mishahara ya walimu, Habari mwana habarika24, karibu katika makala hii mambayo kwa kinaitaenda kukuelezea juu ya viwango vya mishahara ya walimu serikalini. Kama wewe ni mwalimu na unakaribia kuajiliwa au ni mwajiriwa katika shule za serikali basi ni muhimu kuweza kufahamu kiwango cha mshahara wako kulingana na kiwango chako cha kielimu.
Walimu wa Serikalini
Hwa ni watumishi waliohiimu mafunzo ya uwalimu katika nganzi tofauti tofauti na kuajiliwa katika shule za kisarikali. Hawa ni watumishi wa kiuwalimu wanolipwa mishahara yao na serikali. Walimu ni watu muhimu sana katika Taifa kwani ndio kichocheo kikubwa cha kuondoa ujinga na kupandikiza maarifa kwa wananchi kupitia misingi na miongozo ya kitaaluma iliyowekwa na wizara ya elimu.
Hivyo basi ufanisi wa jukumu la mwalimu kwa wanafunzi wake huongezeka kwa kuwepo na maboresho ya mishahara yao na ndio maana serikali kupitia mamlaka husika hufanya mabadiliko ya ongezeko la mishahara ya walimu kila mwaka.Hii huhochea bidii na ufanisi wa walimu wawapo katika majukumu yao ya kuwafundisha wanafunzi.
Tume ya Utumishi wa Umma (Public Service Commission)
Tume ya utumishi wa Umma ndio chombo kikuu kinachojishughulisha na upangaji wa viwango vya mishahara ya watumishi wote wa Umma ikiwemo na walimu. Ikumbukwe kua viwango vya mishahara ya watumishi wa Umma hubadilika kila mwaka kutokana na mambo kadha wa kadha, kama vile
- Mbadiliko ya Kiuchumi
- Kupanda kwa Gharama za Maisha
- Mabadiriko ya sera za Serikali
- Kuongeza Motisha kwa wafanyakazi wa Umma
Viwango Vipya Vya Mishahara ya Walimu Serikalini
Ngazi ya Mshahara | Mshahara wa Mwanzo (Tshs.) | Nyongeza ya Mwaka (Tshs.) |
TGTS A | ||
TGTS B | ||
TGTS B.1 | 479,000 | 10,000 |
TGTS B.2 | 489,000 | 10,000 |
TGTS B.3 | 499,000 | 10,000 |
TGTS B.4 | 509,000 | 10,000 |
TGTS B.5 | 519,000 | 10,000 |
TGTS B.6 | 529,000 | 10,000 |
TGTS C | ||
TGTS C.1 | 590,000 | 13,000 |
TGTS C.2 | 603,000 | 13,000 |
TGTS C.3 | 616,000 | 13,000 |
TGTS C.4 | 629,000 | 13,000 |
TGTS C.5 | 642,000 | 13,000 |
TGTS C.6 | 655,000 | 13,000 |
TGTS C.7 | 668,000 | 13,000 |
TGTS D | ||
TGTS D.1 | 771,000 | 17,000 |
TGTS D.2 | 788,000 | 17,000 |
TGTS D.3 | 805,000 | 17,000 |
TGTS D.4 | 822,000 | 17,000 |
TGTS D.5 | 839,000 | 17,000 |
TGTS D.6 | 856,000 | 17,000 |
TGTS D.7 | 873,000 | 17,000 |
TGTS E | ||
TGTS E.1 | 990,000 | 19,000 |
TGTS E.2 | 1,009,000 | 19,000 |
TGTS E.3 | 1,028,000 | 19,000 |
TGTS E.4 | 1,047,000 | 19,000 |
TGTS E.5 | 1,066,000 | – |
TGTS E.6 | 1,085,000 | – |
TGTS E.7 | 1,104,000 | – |
TGTS E.8 | 1,123,000 | – |
TGTS E.9 | 1,142,000 | – |
TGTS E.10 | 1,161,000 | – |
TGTS F | ||
TGTS F.1 | 1,280,000 | 33,000 |
TGTS F.2 | 1,313,000 | – |
TGTS F.3 | 1,346,000 | – |
TGTS F.4 | 1,379,000 | – |
TGTS F.5 | 1,412,000 | – |
TGTS F.6 | 1,445,000 | – |
TGTS F.7 | 1,478,000 | – |
TGTS G | ||
TGTS G.1 | 1,630,000 | 38,000 |
TGTS G.2 | 1,668,000 | – |
TGTS G.3 | 1,706,000 | – |
TGTS G.4 | 1,744,000 | – |
TGTS G.5 | 1,782,000 | – |
TGTS G.6 | 1,820,000 | – |
TGTS G.7 | 1,858,000 | – |
TGTS H | ||
TGTS H.1 | 2,116,000 | 60,000 |
TGTS H.2 | 2,176,000 | – |
TGTS H.3 | 2,236,000 | – |
TGTS H.4 | 2,296,000 | – |
TGTS H.5 | 2,356,000 | – |
TGTS H.6 | 2,416,000 | – |
TGTS H.7 | 2,476,000 | – |
Mambo yanayoleta Utofauti katika Mishahara ya Walimu
Viwango vya mishahara tulivyoviweka hapo juu si mpango wa kubahatisha tu ni matokeo ya mkusanyiko wa sababu mbali mbali uliopelekea kuwepo vya utofauti wa mishahara ya walimu wa umma katika viwango mbali mbali.
Hapa chini ni miongoni mwa sababu zinazopelekea kuwepo kwa utofauti wa mishahara baina ya walimu
1. Kigezo cha elimu
Elimu ya wahitimu wa mafunzo ya uwalimu moja kwa moja yana athiri kiwango cha mshahara kwa mwalimu husika. Mfano walimu wa Tanzania hugawanywa katika makundi makuu matatu
- Walimu wa Cheti ( Certificate)
- Walimu wa ngazi ya Diploma ( stashahada)
- Walimu wa Digree ( Shahada)
Katika swala la mshahara hapa lazima kuwe na utofauti mwalimu wa digree hawezi kua na mshahara sawa na mwalimu wa cheti.
2. Shule Wanazotumikia.
Hapa tunaangalia kati ya shule binafsi na zile za umma, kumekua na utofauti mkubwa sana wa kimishahara kati ya walimu wa shule binafsi na wale wa shule za serikali. kwa mfano walimu wa shule ya msingi katika shule za binafsi analipwa mshahara mkubwa sana kuliko yule anayefundisha katika shule za msingi za serikali.
3. Kujiendeleza Kielimu
Kwa wale waotumia muda wao katika kujienedeleza kielimu pia hubadili viwango vayo ya mishahara, mfano kwa aliyekua na elimu ya stashahada na alikua akilipwa mshahara wa kiwango cha stashada akajiendeleza kielimu hadi kufikia shahada hata kiwango cha mshahara wake kitaongezeka kutoka cha mwanzo kwenda cha juu.
4. Muda katika Utumishi
Hapa tunazungumzia muda alioutumia mwalimu katika kazi zake mwalimu aliyehudumu kwa miaka 20 kazini katika ngazi ilele ile ya kielimu hawezi kua na mshahara sawa na mwalimu aliyekua na mwaka mmoja kazini.
5. Ufanisi wa Mwalimu
Ufanisi wa kikazi wa mwalimu pia unaweza kua chahu ya yeye kuweza kungezewa mshahara au posho ili kuweza kuwa kama motisha katika kazi yake, Pindi inapofanyika tathimini ya kiutendaji na ikagundulika kuwa juhudi na ufanisi wa mwalimu ni mkubwa katika utumishi wake basi anaweza kufanyiwa nyongeza ya mshahara wake au posho.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Utalii Dar es Salaam
3. Bei ya iPhone 16 Pro Max Tanzania 2024
4. Bei ya iPhone 16 ProTanzania 2024
5. Orodha ya Kambi za JKT Tanzania
6. EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania 2024
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku