VITUO Vya Usaili Wa Mahojiano Wa Tarehe 10 Na 12 Juni, 2025
Wasailiwa wote wa kada zilizotajwa kwenye tangazo hili wanapaswa kuzingatia vituo vya usaili kama vilivyoorodheshwa.
Wasailiwa wanaotokea mkoa wa PWANI waliofanyia usaili wa mchujo Mkoa wa Morogoro, mnaarifiwa kuwa USAILI WA MAHOJIANO mtafanyia Kanda ya Dar es Salaam – katika Ofisi za Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni
VITUO Vya Usaili Wa Mahojiano Wa Tarehe 10 Na 12 Juni, 2025 Kwa Kanda
Ili kusoma vituo hivi vya usaili tafadhari bonyeza linki hapo chini;